Imetolewa na Mkurugenzi wa Gospel Headlines Leo (GHL)
Ev Mhugo Hantish
Kama bado huja-follow account ya gospel_headlines_leo itakayo kuwa ikitoa mchango
wa kuieneza injili mahali pengi kwa njia ya utangazaji wa kazi(huduma)
za waimbaji na wainjilist pamoja na wachungaji kwa upande wa nyimbo,
mahubiri na matangazo/mabango ya semina, mikutano, mikesha, makongamano
na hata zinduzi mbalimbali bila kusahau
mahojiano ya watoa huduma husika kutoka ndani na nje ya Tanzania, basi
Usichelewe ku- follow @gospel_headlines_leo.
Wasiliana nao kwa mawasiliano yaliyopo
kwenye account yao ya @gospel_headlines_leo. Wanapatika pia Facebook:
Gospel Headlines Leo na Blog: Gospel Headlines Leo. Karibu sana.
Imetolewa tar 24/03/2018
Asante mdau wetu.

TANGAZO
KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA hantishmhugo@gmail.com AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP0768788303.
gospelheadlines@2018
"The voice to the voiceless"
Maoni
Chapisha Maoni