Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2017

JINSI YA KUANDAA NA KUANDIKA WIMBO WA KUSIFU AU KUABUDU.

Picha
HOW TO SING BETTER? CLASSROOM NA MWL, EV. MHUGO HANTISH (The sound of worship) Tel number +255768788303 Email hantishmhugo@gmail.com Email gheadlinesleo@gmail.com Blog www.hantish.blogspot.com Blog www.hantishmhugo.blogspot.com Mada: Jinsi ya kuandaa wimbo. Nafahamu kwamba wengi waimbaji kama sio wote tuna mbinu mbalimbali za kuandaa, kuandika nyimbo. Wapo wanaoandaliwa na Roho mtakatifu kwa njia ya maono na ndoto, wapo ambao wenyewe hutumia mapigo Fulani ya ngoma au muziki uliandaliwa, wapo ambao wengine hukaa sehemu tulivu na salama kwa muda kidogo. Nk. Sasa mie leo nakuletea mada hii jinsi ya kuandaa wimbo wako kiufasaha kabisa. TAZAMA HAPA CHINI… 1. Pata wazo la kiujumla, la mada unayotaka au ujumbe unaotaka uuimbe. Kisha uhifadhi katika maarifa ambapo itakusaidia kujipambanua zaidi. Njia hii inakupa wepesi wa kuielewa mada au ujumbe wa wimbo unaotaka kuuandika. 2. Uandike ujumbe au mada yako kwenye kumbukumbu kisha upende uju...