Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MHUGO HANTISH

TULIOMBEE BUNGE LA TANZANIA.

Picha
Previous Next Like Comment Tag Share Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. Habari mpenzi mwanamedia! Natumaini uheri wa afya njema ikiwa umepata fursa ya kusoma ukurasa huu.       Leo ni mara yangu ya kwanza kuandika makala hii inayohusiana na masuala ya kisiasa nchini. Lengo thabiti ni kutamani na kushawishi sote waumini wa dini na madhehebu (yote)mbalimbal i yanayomcha Mungu kwa pamoja na umoja wetu popote pale tulipo kumkabidhi Mungu jambo hili (bunge, wabunge pamoja na shughuli za kibunge.) Ifahamike kuwa bunge kazi yake ni kuisaidia na kuishauri lakini pia kuikosoa serikali. Sanjali na hilo wabunge ndio wahusika wakuu wa kuikosoa serikali hiyo.. (Na hii ni nchi nyingi afrika na dunia kwa ujumla wanafanya hivyo). Sitamani kusema ni mpinzani wa UKAWA bali nataka kuweka mtazamo chanya na kuifanya nchi hii iwe na amani siku zote. Leo imekua kawaida sana kusikia ama kushuhudia wabunge wa upinzani wakipinga ba...