Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2017

EV. MHUGO HANTISH KAACHIA "YESU WEWE AUDIO" MITANDAONI

Picha
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. "Nimshukuru kwanza Mungu wa upendo aliye nipa kibali cha kuweza kuandaa wimbo huu ambao naamini utabadili maisha ya kiroho ya watu wengi. nimeona niruhusu audio then nikaribishe video itafuata" 17 Julai · 🏥 🎬 🎥 📀 🎤 # comingsoon # OurMotto # YesuWewe Penda Toa maoni

MFAHAMU DIRECTOR WA VIDEOS ZA EV. MHUGO HANTISH.

Picha
Penda Toa maoni

SIFAEL MWABUKA KUTAMBA NA MTOTO WETU.

Picha
Maoni Na Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. SIFAEL MWABUKA Ni mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake mpya kabisa unaokwenda kwa jina la MTOTO WETU.  jitafutie nakala yako sasa. 19 Julai · Kula chuma hicho kutoka kwa @sifaelmwabuka in # mtotowetu -1:00 Mwonekano 1

EV MHUGO HANTISH NA UJIO WA VIDEO YA WIMBO MPYA.

Picha
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. ameongeza tukio . 21 Julai · YESU WEWE NI WIMBO WANGU MPYA KWA SASA AMBAO BWANA AMENIPA KIBALI CHA KUUIMBA KWA LENGO LA KUWAFIKIA WENGI AMBAO WAMEKUA NA IMANI HABA KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU WAO. WANAMWENDEA KUTAKA KUPONYWA LAKINI BADO HAWA AMINI YA KWAMBA WAMEPONA. WIMBO HUU NI WA KUABUDU ZAIDI. HIVYO NAAMINI UTAFANYIKA BARAKA KWA KILA ATAKAEUSIKIA. NIPO KUIKAMILISHA VIDEO YAKE AMBAYO NAYO NDANI YAKE IMEJAWA NA USHUHUDA WA KUTOSHA JUU YA UKUU WA MWANA WA MUNGU KWETU. NAAMINI HUTABAKI KUWA KAMA ULIVYO KUWA. ILI UWE WA KWANZA KUIPATA VIDEO HIYO WASILIANA NA 0768788303 AU INGIA YOUTUBE KWA JINA LA EV MHUGO HANTISH NA KISHA SUBSCRIBE ILI USIPITWE. BARIKIWA SANA. JULAI 22 Yesu Wewe Video 22 Julai - 5 Agosti · Africa/Dar_es_Salaam · Dar Es Salam, Dar es Salaam Watu 2 wamependezwa Penda Toa maoni

10 tips for singers to keep voices at prime.

Picha
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. 22 Julai · Rudewa, Ruvuma · 10 tips for singers to keep voices at prime. Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. Ev Mhugo View all Last updated Sun 23rd 7 2017 The following tips help singers to keep their voice in good shape 1) Drink up to 8-10 glasses of pure water every day (any caffeinated drink does not count) Water thins your mucus and lubricates your vocal cords like oil lubricates a car engine. Thick mucous causes friction and trauma to vocal cords. More water, less friction, less trauma, better voice. 2) Warm up your voice regularly Simple warm ups are recommended, especially for auditions and performances (just as runners warm up for a marathon). Better yet, take a classical music approach: do glissandos (descending scales) and staccatos (punctuated breathing exercises) and messadivoce (controlling intensity of volume). 3) Take vocal "naps" Your voice needs a rest, just like you do. So, find quiet ...