EV MHUGO HANTISH NA UJIO WA VIDEO YA WIMBO MPYA.
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. ameongeza tukio.
YESU
WEWE NI WIMBO WANGU MPYA KWA SASA AMBAO BWANA AMENIPA KIBALI CHA
KUUIMBA KWA LENGO LA KUWAFIKIA WENGI AMBAO WAMEKUA NA IMANI HABA KATIKA
KUMTUMIKIA MUNGU WAO. WANAMWENDEA KUTAKA KUPONYWA LAKINI BADO HAWA AMINI
YA KWAMBA WAMEPONA. WIMBO HUU NI WA KUABUDU ZAIDI. HIVYO NAAMINI
UTAFANYIKA BARAKA KWA KILA ATAKAEUSIKIA. NIPO KUIKAMILISHA VIDEO YAKE
AMBAYO NAYO NDANI YAKE IMEJAWA NA USHUHUDA WA KUTOSHA JUU YA UKUU WA
MWANA WA MUNGU KWETU. NAAMINI HUTABAKI KUWA KAMA ULIVYO KUWA. ILI UWE
WA KWANZA KUIPATA VIDEO HIYO WASILIANA NA 0768788303 AU INGIA YOUTUBE
KWA JINA LA EV MHUGO HANTISH NA KISHA SUBSCRIBE ILI USIPITWE. BARIKIWA
SANA.
JULAI22
Watu 2 wamependezwa
Maoni
Chapisha Maoni