Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2019

GHL On Pre Sunday: MAJIBU YA PADRE KWA MUUMINI WAKE.

Picha
Mwanamke mmoja alimwendea Padre na kumwambia..."Sitaendelea kuja Kanisani..." Padre akamuuliza, unaweza kuniambia kwa nini unasema hivyo? Yule mwanamke akasema, "wakati wa ibada naona watu wakiwa wanatumia simu zao, wengine wakisengenya, wengine nao hawaishi ipasavyo kama Wakristo. Wote ni wanafiki tu." Padre akakaa kimya. Kisha akamjibu yule mama, Sawa...Lakini nikuombe unifanyie jambo moja kabla hujafanya maamuzi? Mwanamke akaitikia, "jambo gani hilo?" Padre akamwambia, "chukua glasi ya maji na ulizunguke Kanisa mara mbili ukiwa nayo mkononi, na uhakikishe kwamba hakuna hata tone la maji linalodondoka." Mwanamke akasema...."hilo naliweza kabisa!" Akazunguka Kanisa mara mbili akiwa na ile glasi ya maji na akamrudia Padre na kumwambia kwamba, "nimekamilisha." Baada ya kuona vile, Padre akamuuliza maswali matatu: 1. Uliona mtu yeyote akiwa anatumia simu yake? 2. Uliona mtu yeyote akiwa anasengenya? 3. Je, uliweza kumwona mtu ye...

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

Picha
HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO                  NA EV ALEX MAHENGE +255763 111 794 1. #*Mathayo. Huyu aliuawa kwa upanga huko Uhabeshi (Ethiopia ya leo) baada ya kuonyesha imani kali dhidi ya kanisa la Kristo. Alijeruhiwa kwa upanga na kidonda chake hakikupona hadi umauti ulipomfika. 2. #Marko Huyu alifariki huko Alexandria Misri ya sasa baada ya kuangushwa na farasi barabarani, aliangushwa vibaya na hakupata msada. Mwishowe akafariki. 3. #Luka Alinyongwa huko Ugiriki, hii ni kutokana na msimamo wake mkali aliouonesha dhidi ya Kristo. 4. #Yohana Huyu alitumbukizwa katika pipa lenye mafuta yanayochemka huko Roma, (Italia ya sasa). Hata hivyo kwa miujiza hakuungua na alitolewa akiwa mzima kabisa. Alipelekwa katika gereza lililokuwa katika migodi huko kisiwa cha Patmos. Na huko ndiko alipofunuliwa na mwenyezi Mungu na kuandika kitabu cha "Ufunuo wa Yohana". Baadae aliachiwa huru na kwenda kutu...

GHL TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI 2019.

Picha
TUMEUMALIZA 2018 KWA AMANI,  NI NAFASI NYINGINE BWANA AMEFANYA KWETU. 2019 IKAWE YA UTIISHO NA UREJESHO KWA KILA ULIPANGALO. www.hantishmhugo.blogspot.com TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI.  TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com AU gheadlinesleo@fmail.com UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . =TUNAPATIKANA PIA YOUTUBE CHANNEL, FACEBOOK PAGE NA INSTAGRAM ACCOUNT . gospelheadlines@2019 " The voice to the voiceless "