Nuru Kitambo - Nina Haja Nawe

mtafute sana Mungu maadam anapatikana. ukiwa na shida yoyote usiende sehem nyingine yeyote ile ila mkimbilie Mungu tu. atakuponya kwa mkono wake ulio karibu sana nsi kila saa. Mwamini tu naye atafanya njia pasipokuwa na njia, atatoa maji palipo na jangwa na atafanya mambo mengi makubwa na ya ajabu yenye kuaminiwa maana yeye ndiye mwenyeji wa kila tusilolijua siye wanadamu. barikiwa na jumapili hii ya leo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO