SOMO: MWALIKO WA YESU NYUMBANI KWA MARTHA NA MARIAM. Luka mt. 10:38-42
Previous Next Like Comment Share Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. Ikawa katika kuenda kwao aliingia katika kijiji kimoja mwanamke mmoja aitwae Martha alimkaribisha Yesu nyumbani kwake.huko Martha alikua na mdogo wake aitwae Mariam, aliyeketi chini pa Yesu akisikiliza maneno take. Lakini Martha alikua akijishughulish a kumwandalia chakula Yesu. Alipoona yu peke akamwendea Yesu na kumwambia "Bwana huoni vibaya hivyo ndugu yangu alivyoniachia kazi peke yangu? Basi mwambie anisaidie." Bwana akajibu "Martha Martha unahangaika na mambo mengi lakini linatakiwa jambo moja tu. Na Mariam amechagua fungu lililo jema ambalo hataondolewa." Luke 10:38-42 Bwana Yesu Asifiwe!!!!! Kimsingi kuna wanawake wengi katika biblia ambao wametenda mengi ya kujifunza sie kimwili na kiroho pia. Vifungu hivyo vinne vya Biblia vinatuongoza kujifunza namna ya kuishi maisha ya kiroho pasipo kuathiri maisha ya kimwili. Wakati Mariam aki...