HATIMAYE BW. WILLY MHAGAMA ATARAJIA KUFUNGA NDOA TAR 2.7.2016
Hahahahahahahahahah......!!!!!!! labda anamwuliza "eti tuchukue soda gani hapo?"
mke mtarajiwa wa Bw. Willy Mhagama Bi. Julieth Kilipamwambu
katika kutoa salamu kwa wakwe tar 29.6.2016
Mke mtarajiwa Bi Julieth Kilipamwambu baada ya kupokea mafunzo kwa mchungaji.
mke mtarajiwa wa Bw. Willy Mhagama Bi. Julieth Kilipamwambu
katika kutoa salamu kwa wakwe tar 29.6.2016
HABARI NJEMA KWA MARAFIKI NA JAMAA PAMOJA NA NDUGU WOTE WA BW. WILLY MHAGAMA NA BI. JULIETH KILIPAMWAMBU.
Tarehe 2.7.2016 siku ya jumamosi, wahusika tajwa hapo juu wanapenda kuwaalika katika kuishuhudia ndoa yao itakayofungwa mkoani njombe wilaya ya wanging'ombe na kata ya igwachanya. Ndoa hiyo itafungwa katika usharika wa igwachanya jirani kabisa na shule ya sekondari ya igwachanya.
Bw. Willy Mhagama ambaye pia ni mwalimu akiwa katika ubora wake baada ya send off ya mke mtarajiwa Bi: Julieth Kilipamwambu.Mke mtarajiwa Bi Julieth Kilipamwambu baada ya kupokea mafunzo kwa mchungaji.
Maoni
Chapisha Maoni