Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2016

mtoto huyu anahitaji msaada wako

Picha
Mhugo Hantish added 8 new photos . September 19 at 9:43am · I'm proud of you God due to your different style of human creation. Mtaani kwetu watu kama hawa tunao wengi sana. Uliye mzima kwa ukamilifu wa viungo vyote una nini jema la kumlipa Mungu? Tuwasaidie wenzetu wasiojiweza maana ni jukum la kwetu sisi sote.   0755940989 Alfred William haule ni namba utakayo itumia kumfariji na kusema nae MANENO ya faraja. Mtoto huyu aliye chini ana umri wa miaka tisa hadi sasa. anakabiliwa na tatizo la kichwa kuwa kikubwa, na kujaa maji. kitaalam tatizo hili huitwa Hydrocephalus ambalo huweza kuwatokea kwa kusababishwa na kuongezeka kwa maji kitaalam huitwa cerebral spinal fluid(CSF)  pia mtoto huyu ni mdumavu (kama anavyoonekana pichani). kwa hali hii mtoto huyu anahitaji msaada wa hali na mali. 0755940989 Alfred William haule ni namba utakayo itumia kumfariji na kusema nae MANENO ya faraja +4 Like Show more reactions Commen...

Ev. Mhugo Hantish the sound of worship: Mc Mhugo: Hongera sana Atupelye Binga.

Ev. Mhugo Hantish the sound of worship: Mc Mhugo: Hongera sana Atupelye Binga. : Hatimaye Atupelye Binga aiandaa safari  ya ndoa .  ni siku ya tar 17.9.2016 amabapo mamia ya wakazi wa Ludewa walikuja kushuhudia send...

Mc Mhugo: Hongera sana Atupelye Binga.

Picha
Hatimaye Atupelye Binga aiandaa safari  ya ndoa .  ni siku ya tar 17.9.2016 amabapo mamia ya wakazi wa Ludewa walikuja kushuhudia send off ya Atupelye Binga.    Hakika hakuna mfano katika tukio hilo. kila mtu alifurahia uwepo wake. masaa 10 ya neema juu ya maisha ya Atupelye yalikua na manufaa sana  Sherehe hizo zilitanguliwa na ibada takatifu ya kumwombea heri katika safari atakayoianza tar 24.9.2016 huko jijini Dar-es-salaam na kuffuatiwa na Dinner Party ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya (W) Ludewa mjiini.   Nami naungana na maneno ya Pastor kwamba .. namtakia maisha mema katika maisha ya ndoa yake.      ukumbi wa CCM ukiwa umefurika watu( picha na Eze )   Mc Mhugo na Mc Beatrace wakiteta jambo( picha na Eze )                               ...

tunakuabudu By Ev. Mhugo Hantish

Picha

USIPOTEZE IMANI JUU MAFANIKIO YAKO.

Picha
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship . added 2 new photos . September 3 at 8:21am · Masasi · ISAYA 61:1-3 "Roho ya Bwana Mungu i juu yangu. kwa sababu Bwana amenitia mafuta ili niwahubiri wanyenyekevu habari njema Amenituma ilii kuwaganga waliovunjika moyo Kuwatangazia mateka uhuru wao Na hao waliofungwa habari ya kufunguliwa kwao kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu kuwafariji wote waliao" SOMA UJUMBE HUU UKUSAIDIE KWA WOTE WANAO SUBILI MAJIBU YA MAOMBI YAO TOKA KWA MUNGU. Tembo na mbwa walishika mimba kwa wakati mmoja. miezi mitatu baadae mbwa alizaa watoto sita. baada ya miezi sita mbwa alibeba tena mimba nyingine, na ilipofika miezi tisa alizaa watoto wengine kumi na wawili Miezi kumi na nane baadae mbwa aliamua kumfuata tembo na kumuuliza "unahakika kwamba kweli una mimba"? Maana sote tulibeba mimba wakati mmoja, mm nimesha zaa mara mbili mpaka sasa nina watoto zaidi ya dazani lakin ww bado un...