USIPOTEZE IMANI JUU MAFANIKIO YAKO.
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. added 2 new photos.
· Masasi ·ISAYA 61:1-3
"Roho ya Bwana Mungu i juu yangu. kwa sababu Bwana amenitia mafuta ili niwahubiri wanyenyekevu habari njema
Amenituma ilii kuwaganga waliovunjika moyo
Kuwatangazia mateka uhuru wao
Na hao waliofungwa habari ya kufunguliwa kwao
kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu kuwafariji wote waliao"
SOMA UJUMBE HUU UKUSAIDIE
KWA WOTE WANAO SUBILI MAJIBU YA MAOMBI YAO TOKA KWA MUNGU.
Tembo na mbwa walishika mimba kwa wakati mmoja. miezi mitatu baadae mbwa alizaa watoto sita.

baada ya miezi sita mbwa alibeba tena mimba nyingine, na ilipofika miezi tisa alizaa watoto wengine kumi na wawili
Miezi kumi na nane baadae mbwa aliamua kumfuata tembo na kumuuliza "unahakika kwamba kweli una mimba"? Maana sote tulibeba mimba wakati mmoja, mm nimesha zaa mara mbili mpaka sasa nina watoto zaidi ya dazani lakin ww bado una mimba ileile tu, nn kinaendelea?
Tembo akajibu "kitu kimoja ambacho inakupasa utambue ni kwamba nilie mbeba tumboni mwangu sio mbwa bali ni tembo. AkaendeIea huku akisema ninazaa mara moja tu ndani ya miaka miwili, lakin siku nikimshusha mwanagu ardhini dunia lazima ihisi kitu, na pindi mwanangu anapokatiza barabarani,binadam husimama na kusitisha shughul zao hivyo bas nilicho beba kina thamani kubwa sana."
FUNZO
Usipoteze imani yako unapoona watu wengine wanajibiwa maombi yao, wala usivunjike moyo kama bado hujapokea baraka zako toka kwa Bwana.
Sema na moyo wako kwamba"siku yangu ya kupokea baraka zangu inakuja, Amini Bwana hachelewi wala hakawii, punde Bwana atajibu maombi yako na kwa hakika utaishangaza dunia."
COMENT "AMEN"

LikeShow more reactions
CommentShare
Maoni
Chapisha Maoni