mtoto huyu anahitaji msaada wako
Mhugo Hantish added 8 new photos.
I'm proud of you God due to your different style of human creation.
Mtaani kwetu watu kama hawa tunao wengi sana.
Uliye mzima kwa ukamilifu wa viungo vyote una nini jema la kumlipa Mungu?
Tuwasaidie wenzetu wasiojiweza maana ni jukum la kwetu sisi sote.
0755940989 Alfred William haule ni namba utakayo itumia kumfariji na kusema nae MANENO ya faraja.
Mtoto huyu aliye chini ana umri wa miaka tisa hadi sasa. anakabiliwa na tatizo la kichwa kuwa kikubwa, na kujaa maji. kitaalam tatizo hili huitwa Hydrocephalus ambalo huweza kuwatokea kwa kusababishwa na kuongezeka kwa maji kitaalam huitwa cerebral spinal fluid(CSF)
pia mtoto huyu ni mdumavu (kama anavyoonekana pichani).
kwa hali hii mtoto huyu anahitaji msaada wa hali na mali.
LikeShow more reactions
CommentShare
Maoni
Chapisha Maoni