Mc Mhugo: Hongera sana Atupelye Binga.

Hatimaye Atupelye Binga aiandaa safari  ya ndoa.
 ni siku ya tar 17.9.2016 amabapo mamia ya wakazi wa Ludewa walikuja kushuhudia send off ya Atupelye Binga. 
  Hakika hakuna mfano katika tukio hilo. kila mtu alifurahia uwepo wake. masaa 10 ya neema juu ya maisha ya Atupelye yalikua na manufaa sana
 Sherehe hizo zilitanguliwa na ibada takatifu ya kumwombea heri katika safari atakayoianza tar 24.9.2016 huko jijini Dar-es-salaam na kuffuatiwa na Dinner Party ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya (W) Ludewa mjiini. 
 Nami naungana na maneno ya Pastor kwamba .. namtakia maisha mema katika maisha ya ndoa yake. 

   ukumbi wa CCM ukiwa umefurika watu(picha na Eze)
  Mc Mhugo na Mc Beatrace wakiteta jambo(picha na Eze)
                                 Mc Mhugo(kulia) akiwaelekeza cha kufanya kwenye ukataji keki(picha na Eze)
               mikono ya hongera na kheri baada ya ibada ya neno la Mungu(picha na Eze)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO