MAAJABU YA MGOMBA KUZAA NYAMA CHOMA HUKO PERAMIHO NURSING SCHOOL.
Mhugo Hantish akichukua nyama choma katika mgomba wa ndizi baadhi ya waalikwa wakiifurahia siku ya kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wa kwanza katika chuo cha uuguzi na ukunga peramiho. Ev Mhugo Hantish pamoja na wenzie katika kusherehekea tukio muhimu tar 30.10.2016 Ev. Mhugo Hantish akitumbuiza wimbo ulio katika album ya Nikupe Nini Mwili? ambao kwa sasa inafanya vema katika tasnia ya muziki wa injili hapa nchini Tanzania na nchi za jirani ikiwemo Kenya. nyama choma mgombani Ev. Mhugo Hantish pamoja na waalikwa wengine waakishangiliwa jambo. tar 30.10.2016 siku ya jumapili ni siku ambayo kwa wanfunzi wa chuo cha uuguzi na ukunga pepramiho walijawa na furaha ya aina yake ambapo kulifurikwa na wanafunzi wengi wakilishuhudia tendo la kuwakaribisha wanafunzi wenzao wapya wa mwaka wa kwanza. tukio hilo liliambatana sambamba na kuwakaribisha wanafunzi wa masomo ya kujiendeleza kwa njia ya mtandao"electronic learning"...