MAAJABU YA MGOMBA KUZAA NYAMA CHOMA HUKO PERAMIHO NURSING SCHOOL.
Mhugo Hantish akichukua nyama choma katika mgomba wa ndizi
Ev. Mhugo Hantish akitumbuiza wimbo ulio katika album ya Nikupe Nini Mwili? ambao kwa sasa inafanya vema katika tasnia ya muziki wa injili hapa nchini Tanzania na nchi za jirani ikiwemo Kenya.
nyama choma mgombani
Ev. Mhugo Hantish pamoja na waalikwa wengine waakishangiliwa jambo.
tar 30.10.2016 siku ya jumapili ni siku ambayo kwa wanfunzi wa chuo cha uuguzi na ukunga pepramiho walijawa na furaha ya aina yake ambapo kulifurikwa na wanafunzi wengi wakilishuhudia tendo la kuwakaribisha wanafunzi wenzao wapya wa mwaka wa kwanza.
tukio hilo liliambatana sambamba na kuwakaribisha wanafunzi wa masomo ya kujiendeleza kwa njia ya mtandao"electronic learning"
katika kuikamilisha sherehe hiyo pia kulikuwa na sifa na tukuzo kwa Mungu wetu wa mbinguni, mabapo mwimbaji Mhugo Hantish alipanda jukwaani na kumkaribisha Mungu kwa njia ya sifa.
Hakika mkono wa Mungu ulijiinua katika maeneo hayo kwa kabla ya tukio hilo kuanza kulikua na ibada ya siku ya Bwana ambapo iliambatana na neno la Mungu pamoja na maombezi ya kuombea nchi yetu ya Tanzania iwe na amani. Mhugo hantish aliabudu pamoja na waumini wengine pia. Hakika Mungu alishuka mahali patakatifu.
Ev. Mhugo Hantish akifundisha kwa njia ya nyimbo
baadhi ya wanafuzi wa chuo cha uuguzi peramiho
Dj wa siku hiyo ya tar 30. 10. 2016
Maoni
Chapisha Maoni