Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2016

Ev. Mhugo Hantish: Song AINULIWE MUNGU WETU (Offi...

Picha
hatimaye mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania, Ev. Mhugo Hantish ametuletea video mpya ya wimbo wa AINULIWE MUNGU WETU. video hiyo ilitangazwa juzi Tar 27.11.2016 kwenye exclusive interview ndani ya kipindi cha TUMWABUDU MUNGU kinachorushwa kila jumapili kwenye radio ya BEST FM LUDEWA. video hiyo ambayo imeandaliwa na kampuni ya HINJU FILM PRD imekuja muda mfupi baada ya kutoka kwa audio yake ambayo imetengenezwa na TINO ndani ya PLASTER MUSIC PRODUCTION.

Mhugo Hantish. Behind the scene. #ainuliwe Mungu wetu

Picha
hatimaye msanii wa nyimbo za injili HANTISH MHUGO maarufu kwa jina la Ev Mhugo Hantish the sound of worship aingia location kuitengeneza video ya wimbo wake mpya unaoitwa AINULIWE MUNGU WETU. AUDIO imetengenezwa na PRODUCER TINO katika studio za PLASTER MUSIC-SONGEA, VIDEO IMETENGENEZWA na HINJU ZE ONE katika studio za HINJU VIDEO AND FILM PRODUCTION COMPANY ikishirikiana na MSAMARIA VIDEO PRODUCTION. Ilikua ni tar 23.11.2016 ndipo video ilipo shoot. na audio iliachiwa tar 1.11.2016. Ev. Mhugo Hantish ambaye amekua kwenye huduma kwa takribani miaka saba sasa ameeleza furaha yake wakati akizungumza na chanzo cha habari na kwamba jitihada bado zinaelea kufanyika ili kuhakikisha tasnia ya mziki wa injili inafika mbali zaidi ya hapa ilipo sasa. aliongeza zaidi mzee wa NIKUPE NINI MWILI kwamba haoni sababu ya kuacha au kusimama kufanya huduma ya uinjilist kupitia nyimbo maana ni karama ya kutoka kwa MUNGU na hivyo aliwasihi waumini wa madhebu na dini zote kulitambua kusudi la MUNGU na ...

Mhugo Hantish. new song: ainuliwe Mungu wetu, video tar 24.11.2016

Picha

EPUKA MAJANGILI WA MITANDAONI, ANUANI ZA EV. MHUGO HANTISH HIZI HAPA

Picha

NENO LA LEO:Matendo ya Mitume 1 :4, KUSUDI LA MUNGU

Picha
Mhugo Hantish added 4 new photos — with Imani Johni Mtega and 49 others . 1 hr · Shobera, Ethiopia · Mimi na familia yangu tunamtumikia Bwana Mungu huku tukingoja kusudi lake kwetu litimie. TUNAKUSIHI NAWE PIA TAMBUA KUSUDI LA MUNGU KUKUUMBA NA KUKUWEKA ULIMWENGUNI. HESABU SIKU, MIEZI NA MIAKA ULIYONAYO. UTAJUA NI JINSI GANI MUNGU ANAVYOKUPENDA. NA HII NDIO SABABU YA SISI KUISHI KATIKA KUSUDI LA MUNGU JUU YETU(KUMTUMIKIA MUNGU) HIVYO KUMTUMIKIA MUNGU MAANA YAKE NI KUISHI NDANI YA KUSUDI LA MUNGU. 4 Hata alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali wain goje ahadi ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kwangu; Matendo ya Mitume 1 :4 # UsitokeNjeYaKusudiLaMungu

New Official song 2016: ainuliwe by Ev. Mhugo Hantish

Picha

New Official song 2016: ainuliwe by Ev. Mhugo Hantish and Farida Hantish

hatimaye Mhugo Hantish baada ya kuoa ameamua kumshukuru Mungu kwa kumwimbia wimbo wa kuabudu.Akieleza jinsi alivyoguswa kuingia studio amesema alidhamiria kufanya tendo hilo mara tu baada ya kufunga ahrusi hiyo ambapo wangeimba pamoja na mke wake jambo ambalo limetimia. Wimbo huo umefanywa katika studio za thuma na prodcer Athumani aliyeko Wilayani Peramoho mkoa wa Ruvuma.  Hivyo anamshukuru Mungu. Endelea kuisikiliza audio hii na ubarikiwe mtumishi wa Mungu. lakini waweza tembelea account ya youtube na subscribe ili uendelee kupokea update mbalimbali za gospel music.