Ev. Mhugo Hantish: Song AINULIWE MUNGU WETU (Offi...
hatimaye mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania, Ev. Mhugo Hantish ametuletea video mpya ya wimbo wa AINULIWE MUNGU WETU. video hiyo ilitangazwa juzi Tar 27.11.2016 kwenye exclusive interview ndani ya kipindi cha TUMWABUDU MUNGU kinachorushwa kila jumapili kwenye radio ya BEST FM LUDEWA. video hiyo ambayo imeandaliwa na kampuni ya HINJU FILM PRD imekuja muda mfupi baada ya kutoka kwa audio yake ambayo imetengenezwa na TINO ndani ya PLASTER MUSIC PRODUCTION.
Maoni
Chapisha Maoni