New Official song 2016: ainuliwe by Ev. Mhugo Hantish and Farida Hantish



hatimaye Mhugo Hantish baada ya kuoa ameamua kumshukuru Mungu kwa kumwimbia wimbo wa kuabudu.Akieleza jinsi alivyoguswa kuingia studio amesema alidhamiria kufanya tendo hilo mara tu baada ya kufunga ahrusi hiyo ambapo wangeimba pamoja na mke wake jambo ambalo limetimia. Wimbo huo umefanywa katika studio za thuma na prodcer Athumani aliyeko Wilayani Peramoho mkoa wa Ruvuma.  Hivyo anamshukuru Mungu. Endelea kuisikiliza audio hii na ubarikiwe mtumishi wa Mungu. lakini waweza tembelea account ya youtube na subscribe ili uendelee kupokea update mbalimbali za gospel music. 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO