New Video: Yesu Wewe na Ev Mhugo Hantish

Hallelujah mtu wa Mungu popote pale ulipo.
Leo nimekuletea ile video mpya uliyokua ukiisubiria ya wimbo uitwao YESU WEWE ambao naamini utakua na Baraka sana maishani mwako. Ikiwa unahitaji kusogeza mguu wako mbele za Mungu katika Roho na kweli basi ungana nami katika KUUTAZAMA wimbo huu. Mungu akubariki sana.
Bofya hapa
https://youtu.be/KvJne0B0MaY ili kuupata wimbo huo.

Gospel Music in spirit. The Worship in Spirit (WS) label imekuletea video mpya ya wimbo uitwao YESU WEWE ulioimbwa na mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania.


WASHIRIKI KWENYE WIMBO WA VIDEO HII NI:


1.       EV MHUGO HANTISH & MRS FARIDA HANTISH – MANAGING DIRECTORS

2.       HINJU ZE ONE – VIDEO PRODUCER & DIRECTOR

3.       GM ONE – BEST FM RADIO / BEST STUDIO MANAGER

4.       MOSES MLOWE – AUDIO COMPOSER

5.       JOHNSON FILIKUNJOMBE – AUDIO IDEA FOUNDER

OTHERS ARE:

1.       MCHG. WILLA

2.       WILLY MHAGAMA

3.       EDINA NG’WAVI

4.       GROLY MHEMA

5.       PILLI MWAGENI

6.       RIZIKI SANGA

7.       ISRAEL MWASYALINGA

8.       JACKLIN MALEKELA

9.       NOAH JOSEPHATH MWASANGA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO