Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Tazama Video | Download Audio Music: Ev.Mhugo Hantish – Yesu Wewe


Videos

Tazama Video | Download Audio Music: Ev.Mhugo Hantish – Yesu Wewe


Kutoka mkoani Njombe, leo nimekusogezea video iitwayo ”Yesu Wewe” kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Ev.Mhugo Hantish, video ikiwa imeongozwa na Hinju Film Production na audio ikiwa imetayaarishwa na mikono ya prodyuza Johnson Filikunjombe na Moses Mlowe kutoka studio za Best Records.
Akiongea na mwanahabari wa gospomedia.com mtumishi Ev.Mhugo amesema ”Wimbo huu(Yesu Wewe) Kwanza namshukuru Mungu aliye nipa kibali cha kuandika wimbo huu. Lengo la ujumbe huu ni kuwafikishia watu wenye unyonge wa mioyo yao. Wasidhani wameachwa. Yesu wetu aliteswa msalabani. Lengo la mateso yake ilikua kuyabeba madhaifu yetu yote. Hivyo bila Yesu mimi na wewe tusingekua huru hivi.” Alimaliza mtumishi Ev.mhugo.
Kwa moyo mkunjufu tunakuaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa katika viwango vingine vya kiroho.

Download Audio
Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mtumishi Ev.Mhugo Hantish kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 768 788 303
Facebook: Ev. Mhugo Hantish
Instagram: @mhugohantish
Twitter: @mhugohantish
Youtube: Ev. Mhugo Hantish
Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Comments

0 comments
Lads

Lads

Ladslaus Milanzi ni mwanzilishi wa taasisi ya gospomedia, lengo kuu la mtandao huu ni kuisambaza Injili kupitia habari za kikristo, maarifa ya kiroho na kimwili na burudani ya muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania, Karibu ubarikiwe!!
Wasiliana nami kupitia Simu/WhatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Download Audio Music: Ken Rich - Mkanye

Next post

Download Audio Music: Stanley Qamara - Jinsi Ninavyokupenda

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO