New Video: Yesu Wewe na Ev Mhugo Hantish
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. 23 Septemba saa 17:20 pm · Hallelujah mtu wa Mungu popote pale ulipo. Leo nimekuletea ile video mpya uliyokua ukiisubiria ya wimbo uitwao YESU WEWE ambao naamini utakua na Baraka sana maishani mwako. Ikiwa unahitaji kusogeza mguu wako mbele za Mungu katika Roho na kweli basi ungana nami katika KUUTAZAMA wimbo huu. Mungu akubariki sana. Bofya hapa https://youtu.be/KvJne0B0MaY ili kuupata wimbo huo. Ev Mhugo Hantish - Yesu Wewe (official video HD) Gospel Music in spirit. The Worship in Spirit (WS) label imekuletea video mpya ya wimbo uitwao YESU WEWE ulioimbwa na mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania. WASHIRIKI KWENYE WIMBO WA VIDEO HII NI: 1. EV MHUGO HANTISH & MRS FARIDA HANTISH – MANAGING DIRECTORS 2. HINJU ZE ONE – VIDEO PRODUCER & DIRECTOR 3. GM ONE – BE...