Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2016

JINSI ILVYOTUMIKA TAR 25.12.2016

Picha
Mhugo Hantish added 6 new photos — feeling happy at JB classic collection . 5 mins · Njombe · IMEANDIKWA; ibada njema ni kule kuwajali wasiojiweza na maskini........ Leo katika mitaa fulani ikiwa ni katika kuadhimisha siku kuu ya KUZALIWA YESU KRISTO PIA........ mke wangu Farida Kilasi hongera kwa kutimiza miaka kadhaa tangu uzaliwe. Ikiwa ni Tar 25.12.2016 mahali pote ulimwenguni waumini wanaadhimisha siku kuu ya kuzaliwa YESU KRISTO MKOMBOZI WA ULIMWENGU, vivyo hivyo hata kwa upande wa Mke wa Ev Mhugo Hantish leo pamoja na mumewe wa isherehekea siku hiyo pamoja na waumini wa KKKT LUDEWA.   pamoja na kuiadhimisha siku hiyo pia imekua ni furaha kubwa kwa Mrs Mhugo Hantish kwani ni siku yake ya kuzaliwa. katika kuisherehekea siku hiyo Mrs Mhugo ameona ni zaidi kujumuika pamoja na familia ya ya wasiojiweza kimaisha. Kwa kulitambua hilo amekutana na mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi pamoja na bibi asiyejiweza kwa lengo la kuwafariji na kuongea nao pamoja.  ...

Ev Mhugo Hantish #Exlusive interview ndani ya Best Fm Radio.

Picha
Je umekosa tuitazama interview ya Ev. Mhugo Hantish? basi usikose kuitazama katika link hiyo hapo juu.

Exclusive interview ya Ev Mhugo Hantish

Picha
http://youtu.be/yfpy73POU7o http://youtu.be/yfpy73POU7o http://youtu.be/yfpy73POU7o  Je umekosa tuitazama interview ya Ev. Mhugo Hantish? basi usikose kuitazama katika link hiyo hapo juu.

DARASA LA UIMBAJI

Picha
Home About » Music Category » News Category » Featured Ministries » Contacts Home Popular Categories Work Site Map Contact VOCAL TRAINING - DARASA LA UIMBAJI John Shabani akiwa na baadhi ya wanafunzi wenzake wa sauti John Shabani akisimamia waimbaji katika kuandaa wimbo wa miaka 50 ya uhuru wa Tanzania                                                                                                ...