http://youtu.be/yfpy73POU7o
http://youtu.be/yfpy73POU7o
http://youtu.be/yfpy73POU7o
Je umekosa tuitazama interview ya Ev. Mhugo Hantish? basi usikose kuitazama katika link hiyo hapo juu.
HOW TO SING BETTER CLASSROOM With Ev Mhugo Hantish Kama utakua na swali lolote uliza kwa namba 0768788303. ………………………….. FAHAMU NINI MAANA KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA Nini maana ya kusifu na kuabudu KUSIFU NA KUABUDU ni maneno tofauti na yana maana tofauti 1. kusifu MAANA --- nikuelezea wasifu au wajihi za kitu au mtu. Sasa tunaposema tunamsifu Mungu inamaanisha ni KWA KUMUINUA JUU, KUSHUKURU KUMPAZIA SAUTI,KUFANYIA SWANGWE, KUJISHUSHA CHINI YAKE KWA UNYEYEKEVU,nk Zaburi 100:4 Neno hili kusifu kwa kiebrania lilikuwa na maana ya; Tehila, yaani kutamka neno kwa kuongeza vionjo na mbwembwe zaidi. Mfano neno haleluya unalitamka (Ha, ha leluya huuu eee) Tehila ni kuwa kama kichaa unaposifu au kuabudu kwa utukufu wa Bwana. (Nilidhani labda hapa ndipo waswahili walipopata neno taahila). Yadaa yaani kujiachia kwa Mungu (you just surrender yourself to the Lord). Barak yaani kusaluti mbele za Bwana. Ni kuonyesha kwamba ni yeye peke yake anayestahili heshima na u...
HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO NA EV ALEX MAHENGE +255763 111 794 1. #*Mathayo. Huyu aliuawa kwa upanga huko Uhabeshi (Ethiopia ya leo) baada ya kuonyesha imani kali dhidi ya kanisa la Kristo. Alijeruhiwa kwa upanga na kidonda chake hakikupona hadi umauti ulipomfika. 2. #Marko Huyu alifariki huko Alexandria Misri ya sasa baada ya kuangushwa na farasi barabarani, aliangushwa vibaya na hakupata msada. Mwishowe akafariki. 3. #Luka Alinyongwa huko Ugiriki, hii ni kutokana na msimamo wake mkali aliouonesha dhidi ya Kristo. 4. #Yohana Huyu alitumbukizwa katika pipa lenye mafuta yanayochemka huko Roma, (Italia ya sasa). Hata hivyo kwa miujiza hakuungua na alitolewa akiwa mzima kabisa. Alipelekwa katika gereza lililokuwa katika migodi huko kisiwa cha Patmos. Na huko ndiko alipofunuliwa na mwenyezi Mungu na kuandika kitabu cha "Ufunuo wa Yohana". Baadae aliachiwa huru na kwenda kutu...
MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU. Karibu katika blog hii nzuri ifundishayo kweli ya MUNGU,ili uweze kuijua kweli na hiyo kweli ikuweke huru kwa maana YESU ndie NJIA NA KWELI NA UZIMA. * KWA HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA AJILI YA MAOMBEZI, MIBARAKA, JINSI YA KUIMBA KWA SAUTI NZURI ZAIDI NA HUDUMA YA NENO LA MUNGU WASILIANA NASI KWA +255768788303 , www.hantishmhugo.blogspot.com , www.hantishmhugo.com , hantishmhugo@gmail.com KARIBU SANA. MENU: Skip to content Home MAFUNDISHO YA AWALI KATIKA IMANI YA KIKRISTO. HONGERA KWA KUOKOKA. IBADA YA LEO. IBADA YA UIMBAJI. IJUE AFYA YAKO. IMANI. JINSI NIONAVYO MIMI. MAFUNDISHO MENGI MAHUBIRI YA NENO LA MUNGU. MASOMO YA UONGOZI KATIKA KANISA. MAOMBI. MAONO NA NDOTO. MATANGAZO. NAFASI YA MWANAMKE KATIKA KANISA. NAFASI YA WATOTO KATIKA KANISA. NAFASI YA WAZEE KATIKA KANISA. NDOA NA MAHUSIANO. NUKUHU ZA MCH.GASPER MADUMLA. SALAMU ZA MTUMISHI GASPER MADUMLA. SHUHUDA MBALI MBALI. TAMANI URAIA WA MB...
Maoni
Chapisha Maoni