JINSI ILVYOTUMIKA TAR 25.12.2016

Mhugo Hantish added 6 new photosfeeling happy at JB classic collection.
5 mins · Njombe ·
IMEANDIKWA; ibada njema ni kule kuwajali wasiojiweza na maskini........
Leo katika mitaa fulani ikiwa ni katika kuadhimisha siku kuu ya KUZALIWA YESU KRISTO
PIA........
mke wangu Farida Kilasi hongera kwa kutimiza miaka kadhaa tangu uzaliwe.

Ikiwa ni Tar 25.12.2016 mahali pote ulimwenguni waumini wanaadhimisha siku kuu ya kuzaliwa YESU KRISTO MKOMBOZI WA ULIMWENGU, vivyo hivyo hata kwa upande wa Mke wa Ev Mhugo Hantish leo pamoja na mumewe wa isherehekea siku hiyo pamoja na waumini wa KKKT LUDEWA.
  pamoja na kuiadhimisha siku hiyo pia imekua ni furaha kubwa kwa Mrs Mhugo Hantish kwani ni siku yake ya kuzaliwa. katika kuisherehekea siku hiyo Mrs Mhugo ameona ni zaidi kujumuika pamoja na familia ya ya wasiojiweza kimaisha. Kwa kulitambua hilo amekutana na mwanamke mwenye ulemavu wa ngozi pamoja na bibi asiyejiweza kwa lengo la kuwafariji na kuongea nao pamoja. 
 Kwa kuyafanya hayo yote Bi. Farida aliongozana na mumewe Hantish Mhugo.

NIMEKUWEKEA BAADHI YA PICHA HAPO CHINI.........
LikeShow more reactions
Comment

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO