HABARI WANA MEDIA.?
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. 4 hrs · HABARI WANA MEDIA.? LEO NASIMAMA TENA KWA WINO WANGU MWENYEWE NIKITAKA KUZUNGUMZIA KUHUSU MSTAKABALI WA NCHI YETU HII YA TANZANIA. MAMBO YA WALAWI 19:18 "usifanye kisasi wala kinyongo juu ya wana wa watu wako" Ni muda wa miezi nane sasa tangu January mpya ya uongozi mpya wa serikali ya jamhuri ya Tanzania ambapo tulimshukuru na bado tunamshukuru Mungu kwa kutuletea Kiongozi JPM. Mwenendo wa serikali hii ambayo wengi wameiita "serikali ya Magufuli" umewafurahisha wengi wa watanzania hasa wananchi wa hali ya chini. Dira ya Mh. Magufuli inaonyesha kuwasaidia hasa wananchi wa hali ya chini. Kilichonisukuma kuandika haya yote ni hiki ..... Baadhi ya Viongozi walio chini ya Mhe. JPM yamejizolea umaarufu kwa kazi zao zilizotukuka, lakini cha ajabu kuna viongozi wengine wamegeuka mwiba kwa wananchi baada ya kutafuta "kiki" kwa JPM ambapo ile kauli ya "kutumbua majipu" ndio imekuav...