shukuruni kwa MUNGU kwa kila jambo
Tuseme nini basi juu ya Bwana? Maana ukuu wake hauelezeki. Yeye hasinzii wala halali kwaajili yetu. Asante kwa #huduma uliyonipa... Asante kwa #kazi uliyonichagulia na asante kwa #matunda ninayoyapata kutokana na miti ya uvumilivu uliyonipa katika maisha. Naamini kweli upo na utakuwepo. Wewe ni Mungu tu. Sasa #nikupeninimwili tena uridhike?
LikeShow more reactions
CommentShare
Maoni
Chapisha Maoni