HABARI WANA MEDIA.?
HABARI WANA MEDIA.?
LEO NASIMAMA TENA KWA WINO WANGU MWENYEWE NIKITAKA KUZUNGUMZIA KUHUSU MSTAKABALI WA NCHI YETU HII YA TANZANIA.
MAMBO YA WALAWI 19:18
"usifanye kisasi wala kinyongo juu ya wana wa watu wako" Ni muda wa miezi nane sasa tangu January mpya ya uongozi mpya wa serikali ya jamhuri ya Tanzania ambapo tulimshukuru na bado tunamshukuru Mungu kwa kutuletea Kiongozi JPM. Mwenendo wa serikali hii ambayo wengi wameiita "serikali ya Magufuli" umewafurahisha wengi wa watanzania hasa wananchi wa hali ya chini. Dira ya Mh. Magufuli inaonyesha kuwasaidia hasa wananchi wa hali ya chini.
Kilichonisukuma kuandika haya yote ni hiki ..... Baadhi ya Viongozi walio chini ya Mhe. JPM yamejizolea umaarufu kwa kazi zao zilizotukuka, lakini cha ajabu kuna viongozi wengine wamegeuka mwiba kwa wananchi baada ya kutafuta "kiki" kwa JPM ambapo ile kauli ya "kutumbua majipu" ndio imekuavikitumika kuwakandamiza baadhi ya wafanya kazi wa serikali.
Mf: kuna walimu wa shule za msingi wanatishiwa kusimamishwa kazi ili kiongozi (DC) aonekane amefanya kazi, au wauguzi wanatishiwa kusimamishwa kazi kazi kwa maslahi ya DED. AU safari/ziara za kushtukiza kwa malengo ya kukomoa mfanya kazi. Upendo katika hayo umepoa kabisa. Wafanya kazi wamekua woga sana katika kazi zao na vitengo vyao kisa neno "kutumbuliwa".
Ikiwa msomi uliye soma na una cheti cha "profession" na ni mzoefu katika kazi yako, nini kinachokufanya uogope? Yesu anasema usiogope. Ikiwa mfanyakazi unafanya kazi kwa kufuata misingi na maadili ya kazi yako kwanini uogope?
Viongozi baadhi yao wamekua chachu ya kuwafanya baadhi ya wafanya kazi kufanya kazi wa woga wa kusimamishwa. Ninachokijua ni kwamba wanatafuta kuonekana kwa bosi wao kwamba wanafanya kazi nzuri. (Msifanye hivyo jamani.)
Nnajua wafanya kazi wana vyama vya wafanya kazi, kabinet ya uadilifu na washauri ambako watapelekwa na kujadiliwa na kisha kujiridhisha kwa hatua zinazopaswa kumsimamisha kazi. Tofauti na hapo... Dah Sijui tunenaje!! Imekua kama kuna uadui "mmesikia kwamba imeandikwa umoende jirani yako na umchukie adui yako? Lakini mimi nawaambia wapendeni adui zenu na muwaombee wanaowaudhi." Mathayo 5:43-44
Kwa kuwa lengo letu ni kuleta maendeleo kwa wananchi..
Mungu aijalie Tz pamoja na viongozi wote wa Tz . kila MTU afanye sawa na alivyoagizwa.
Amen
__/hantishmhugo@gmail.com\__

jinsi ya kutunga nyimbo za kumwabudu Mungu
hantishmhugo.blogspot.com|By Hantish Mhugo
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. shared a link.
hantishmhugo.blogspot.com|By Hantish Mhugo
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship. reading the Bible with Hana Weston and 11 others at Ludewa.
Juma pili njema kwa wote wenye mwili
Thanks Jesus for giving me a new and best spiritual gift. Now its time to show how I love you.
Musician/Band
About
Page Tips
Upcoming Events
Create events for your Page.
Create Event
Visitor Posts
- 2korintho 9:12
- Ibada ya uhusiano kati ya LUDEWA na Augsburg tar 24.07.2016 Watoto ni dhamana ya Mungu.
People Also Like
- Gospel zoneRadio Station
- Mwalihanyike OscarJournalist
- SPOR TanzaniaCommunity
Liked by This Page
Maoni
Chapisha Maoni