PICHA 5+ VIDEO YA ALBUM YA NIKUPE NINI MWILI? INAKARIBIA.















HAYA NI MAANDALIZI YA VIDEO YA EV. MHUGO HANTISH THE SOUND OF WORSHIP. 

  Akiwa location huko Ludewa mjini alieza kuwa anamshukuru sana Mungu wake kwa kumtimizia adhma yake lakini aliongeza kuwa anatambua uwepu wa waliofankisha audio ya "nikupe nini mwili?"

 wafuatao ni washiriki katika kuikamilisha audio hiyo:- 

super record- makambako

emilyo msigala- makambako

Nuru - mbeya

na wengine ni:-

Mr. masanya, Mchg S. Msambwa wa ilembula jimboni

Mchg. Antony Kipangula na mkuu wa jimbo wa jimbo la mafinga na wengine wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine.

MUNGU AWABARIKI, 

HERI DUNIA TULIVU AMBAYO WATAKATIFU WANAISHI.. MUNGU ANATUKUZWA KWAYO.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO