Andaa malengo kabla ya mipango
"kuitengeneza au kuiandaa historia njema ya baadae ni kusudi maalum lakini kuiharibu ndoto iliyokwisha kuanzisha utekelezaji wa taswira halisi ni matokeo ya kushindwa kuyapanga malengo yako vizuri maana maisha hayana bahati nzuri wala mbaya ila ni malengo na mipango tu". Ev. Mhugo hantish
asante Mungu kwa ukuu wako.
Nitakushukuru Bwana kwa moyo wangu wote,
umenitendea, nitakusifu wewe kwa matendo makuu ulonitendea. Maana wewe wastahili kusifiwa. Hakuna mwingine aliye kama wewe.
Pokea sifa Bwana wa mabwana,
Pokea sifa wewe wastahili.
mataifa yote yatalitaja Jina lako.
Ee Mungu uhimidiwe milele na milele. Amina.
Ev. Mhugo Hantish the sound of worship.
Thanks Jesus for giving me a new and best spiritual gift. Now its time to show how I love you.
Today at 6:52am near Masasi · Public · in Timeline Photos
View Full Size · Edit Photo · Send as Message
Asia Barnaba Ngata likes this.
Maoni
Chapisha Maoni