Judith Mbilinyi - Maisha Yangu Official Video

Bwana Yesu Asifiwe! 
Mpendwa
msomaji wa blog yetu pendwa ya GOSPEL HEADLINES LEO, leo kwa uwezo wa
Mungu nimekusogezea video ya wimbo wenye baraka nyingi sana uitwao Maisha Yangu kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili  kutoka jijini Dar es salaam Tanzania anayefahamika kwa jina la Judith Mbilinyi. Wimbo huu wa kuabudu umetayaarishwa katika studio za EM Records chini ya mikono thabiti ya mtayarishaji Erasto Augustino.


Hii ni moja kati ya nyimbo zenye mafuta ya pekee sana ya upako katika

kumwabudu Mungu ambaye kupitia Bwana wetu Yesu Kristo ameachilia nguvu ya ajabu

kwa mtumishi Judith Mbilinyi ambaye kupitia wimbo huu

ameonekana kuwa katika uwepo wa kipekee wa Mungu akilisifu jina la Yesu

Kristo na kuzikumbusha nafsi zetu pia kuwa maisha yetu yapo mikononi mwa

Bwana wetu Yesu.
 Ili kuutazama wimbo huu ambao upo kwa mfumo wa video, bofya hapo chini. Karibu sana.




Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Judith Mbilinyi kupitia:


Simu namba/WhatsApp: +255 762 372 408


Facebook: Judith Mbilinyi


Instagram: @judithmbilinyi


Youtube: Judith Mbilinyi






TANGAZO

JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA www.hantishmhugo.blogspot.pe?

KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA hantishmhugo@gmail.com AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP0768788303.

gospelheadlines@2018

"The voice to the voiceless"

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO