DR TUMAINI MSOWOYA KUKIWASHA ITV KESHO

Na Mwandishi wetu,
 Dar Es Salaam

  Mwandishi mahiri na mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari zihusuzo watoto nchini Tz, na mwimbaji wa nyimbo za injili, Dr Tumaini Msowoya ambaye pia aliawahi kuwa mtangazaji wa kipindi kimojawapo cha Radio Ebony Fm anaendelea kutamba vizuri zaidi na wimbo wake wa NINA FURAHA ulio katika mfumo wa 'AudioVisual'.

 Kwa sasa anakualika kuitazama kazi yake ili kuendelea kumsapoti katika huduma yake ya uimbaji. 

Kwa habari zilizotufikia GHL ni kwamba wimbo huo wa NINA FURAHA unaendelea kukamata fahamu na nyoyo za wapenzi wake. Hivyo kesho video yake itaruka hewani kupitia ITV. Dr Tumaini anawaalika kuitazama video hiyo.

KUTAZAMA VIDEO HIYO BOFYA HAPA 

TANGAZO

JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA www.hantishmhugo.blogspot.pe?

KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA  hantishmhugo@gmail.com AU gheadlinesleo@fmail.com UJUMBE/PIGA/WHATSAPP0768788303.

=TUNAPATIKANA PIA YOUTUBE CHANNEL, FACEBOOK PAGE NA INSTAGRAM ACCOUNT.

gospelheadlines@2018

"The voice to the voiceless"


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO