Ev Mhugo awapa tumaini wanafunzi wenye vipaji.

 LUDEWA
Na Mwandishi wetu: 

Wakati huduma ya uimbaji ikiendelea kukua siku hadi siku, mtumishi wa Mungu Mhugo Hantish, ambaye pia ni mpigaji mzuri wa baadhi ya vyombo vya muziki kama vile kinanda nk. amekutana na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Luana iliyoko mjini Ludewa-Njombe na kufanya nao mazungumzo mara baada ibada iliyompeleka huko yeye pamoja na Kwaya ya Parapanda (KKKT). 
   Amekutana na baadhi ya wanafunzi hao ambao pia ni miongoni mwa WANAUKWATA  katika jumapili moja na kupiga nao story mara baada ya kuona na kuvutiwa na vipaji vyao vya upigaji ngomba (ndoo iliyopo pichani). "Msipotaka kukata tamaa mtafika mbali. kwa kuwa hatua moja huanzisha nyingine. Kikubwa mkaze katika maombi. Mie mwenyewe nimetokea hukuhuku hadi kufika hapa nilipo" - Ev Mhugo
 (pichani) Ev. Mhugo na baadhi ya wanakwaya na wanafunzi wapiga ngoma
 Ev. Mhugo akijikumbushia kupiga ngoma hiyo

TANGAZO

JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA www.hantishmhugo.blogspot.pe?

KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA hantishmhugo@gmail.comhantishmhugo@gmail.com AU gheadlinesleo@fmail.com UJUMBE/PIGA/WHATSAPP0768788303.

gospelheadlines@2018

"The voice to the voiceless"

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO