MAKALA:NANI ANAFUATA TANZANIA?

NANI ANAFUATA TANZANIA?
Na Ev Mhugo Hantish

Kutoka nchini Atlanta, Georgia Gospel Headlines Leo
imekuletea mwimbaji mwenye karama ya ajabu na ya pekee katika kumwinua na kumtukuza Mungu aliye hai, Dr. Sonnie Badu. Huyu ni mwimbaji, mchungaji wa kanisa la Rock Hill alilolianzisha mwenyewe mwanzoni mwa 2017 nchini humo. Amejikita zaidi katika uimbaji wa nyimbo za injili kwa namna ya 'Live Concert' ambayo imekuwa ikifanyika baraka sana mioyoni mwa watu waliobahatika kuhudhuria baadhi ya matamasha yake. 
   Leo katika moja ya posts alizo post kupitia mtandao wa instagram akiwa Marekani ni picha iliyoonyesha baadhi ya tuzo na medani alizozipata kwa njia ya huduma yake. Picha hiyo ilipewa Caption ifuatayo 
 "you will not labour in vein. God will honor you before the year ends...look up to jesus" yakiwa na maana 
"hautafanya kazi patupu. Mungu atakuheshimisha kabla ya mwaka kuisha.... wewe mtazame Yesu"
   Picha hiyo imemwoyesha akiwa ameshikilia hati nne za tuzo na kuvaa medani moja kifuani. Je unadhani kwa hapa Tanzania ni Mwimbaji gani anaweza kulingana na Dr Sonnie Badu kwa huduma aliyo nayo?


TANGAZO

JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA www.hantishmhugo.blogspot.pe?

KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA  hantishmhugo@gmail.com AU gheadlinesleo@fmail.com UJUMBE/PIGA/WHATSAPP0768788303.

=TUNAPATIKANA PIA YOUTUBE CHANNEL, FACEBOOK PAGE NA INSTAGRAM ACCOUNT.

gospelheadlines@2018

"The voice to the voiceless"

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO