HABARI:UZINDUZI WA TUMAINI NJOLE SEHABA UKO HIVI!
Na Mwandishi wetu, Morogoro
Kama umekua mfuatiliaji wa nyimbo za injili kila wakati hapa nchini Tanzania basi wimbo wa MUNGU WETU ANAONEKANA sio mgeni masikioni mwako. Mwimbaji maarufu kutoka nchini Tanzania nakuletea bonge moja la uzinduzi wa albam hiyo ya MUNGU ANAONEKANA ambao utafanyika mnamo tarehe 02 Sept 2018 ambapo amewaalika waimbaji mahiri wengi kama vile Ambwene Mwasongwe, Masanja Mkandamizaji na wengine wengi ambao watakua wakimpa 'company' kwenye tamasha hilo kubwa na la aina yake ambalo ahlijawahi kutokea mjini Morogoro.
ILI KUUTAZAMA WIMBO WA "MUNGU ANAONEKANA" BOFYA HAPA
Maoni
Chapisha Maoni