EV MHUGO HANTISH WITH FARIDA HANTISH tar 14.02.2017
VIDEO: jinsi ilivyokuwa tar 14.02.2017 kwa akina Hantish na Farida.
Yamkini ndoa yako ina misukosuko,
Hadi unatamani uachane na mume/mke wako, (kwa wale wenye furaha na amani hii haiwahusu)
Au unafikia hatua ya kutaka kujiua, au kumuua,
TAMBUA ya kwamba Roho wa Mungu yu upande wako... Atakusimamia, atakutetea...
Wewe mwenye mpango mkakati wa kuoa au kuolewa... Tulia kwa makini
kabisa mbele za Mungu na kumwomba akuchagulie kilicho chema kabisa. #usikurupuke
Leo wanasema ni siku ya WAPENDANAO, je ina maana siku zingine zote ni
siku za WACHUKIANAO? Siku hii isikufanye wewe utende dhambi, isikufanye
umtendeshe dhambi mwingine. #jichunge na #jihadhari...
MUNGU AMEAGIZA UPENDO WA KWELI.. UPENDO WA KWELI HAUFI, HAUJI NA KUONDOKA, WALA KUPOTEA...
#MUNGU AKUBARIKI WEWE PAMOJA NA JAMAA ZAKO. .

Maoni
Chapisha Maoni