Neno: Bibilia Takatifu

Wagalatia 5:22-23Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumili vu, wema, fadhili, uaminifu, 23 upole, kiasi. Hakuna sheria inayopinga mambo kama haya.
Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO