HOW TO SING BETTER CLASSROOM With Ev Mhugo Hantish Kama utakua na swali lolote uliza kwa namba 0768788303. ………………………….. FAHAMU NINI MAANA KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA Nini maana ya kusifu na kuabudu KUSIFU NA KUABUDU ni maneno tofauti na yana maana tofauti 1. kusifu MAANA --- nikuelezea wasifu au wajihi za kitu au mtu. Sasa tunaposema tunamsifu Mungu inamaanisha ni KWA KUMUINUA JUU, KUSHUKURU KUMPAZIA SAUTI,KUFANYIA SWANGWE, KUJISHUSHA CHINI YAKE KWA UNYEYEKEVU,nk Zaburi 100:4 Neno hili kusifu kwa kiebrania lilikuwa na maana ya; Tehila, yaani kutamka neno kwa kuongeza vionjo na mbwembwe zaidi. Mfano neno haleluya unalitamka (Ha, ha leluya huuu eee) Tehila ni kuwa kama kichaa unaposifu au kuabudu kwa utukufu wa Bwana. (Nilidhani labda hapa ndipo waswahili walipopata neno taahila). Yadaa yaani kujiachia kwa Mungu (you just surrender yourself to the Lord). Barak yaani kusaluti mbele za Bwana. Ni kuonyesha kwamba ni yeye peke yake anayestahili heshima na u...
Maoni
Chapisha Maoni