NAMNA YA KUISIKILIZA SAUTI YA MUNGU
SOMO:KUISIKILIZA SAUTI YA MUNGU
Mambo ya walawi 1:1-8
1.Bwana akanena na Musa,na kusema nae katika hema ya kukutania, akamwambia 2. nena na wana waisrael,uwaambie, mtu wa kwenu atakapomtolea Bwana matoleo, mtatoa matoleo yenu katika wanyama wa mifugo, katika ng'ombe na katika kondoo. 3. matoleo yake kwamba ni sadaka ya kuteketezwa ya ng'ombe, atatoa ng'ombe mume mkamilifu,ataleta mlangoni pa hema ya kukutania, ili akubaliwe mbele ya Bwana.4. kisha ataweka mkono wake juu ya kichwa cha hiyo sadaka ya kuteketezwa, nayo itakubaliwa kwaajili yake ili kufanya upatanisho kwa ajili yake.5. naye atamchinja ng'ombe huyo mbele ya Bwana, kisha wana wa Haruni hao makuhani wataileta karibu hiyo damu yake kando kando katika madhabahu iliyo hapo mlangoni pa hema ya kukutania. 6. kisha atachuna sadaka ya kuteketezwa na kuikata vipande vyake. 7. kisha wana wa Haruni watatia moto juu ya madhabahu, na kuzipanga kuni juu ya moto.
Ndugu yangu, Bwana Yesu asifiwe? kwanza napenda kumshukuru Mungu mwingi wa rehema aliyenipa kibali cha kukutana na wewe kwa njia hii na kwa siku hii ya leo.
leo napenda kuzungumzia jinsi sauti ya Mungu ilivyo ya pekee kwetu sie wanadamu. Mungu akikuita kwa sauti yake hukupa na kazi ya kufanya. alivyo kuita hapa Duniani alikwisha kukuandalia na mahali pa kukaa na hata leo hii bado sauti yake inaskikika nadani mwetu.
lakini nimekuwa nikipata maswali mengi sana kwa jirani zangu kwamba eti mbona mie sijawahi isikia sauti ya Mungu ikiniita.? ndugu yangu nawe kama ulikua na mawazo kama hayo nataka nikwambie kwamba Mungu ni Roho, Roho huyu mwema ndiye atoaye suti ndani ya mioyo yetu,(Yoh. 4:23-24). Mungu hawezi kukaa ndani ya mioyo yetu kama hatuja mkaribisha. anasematazama nabisha mlango atakae fungua nami nitaingia ndani yake naye atakaa ndani yangu.. kwahiyo lazima tumruhusu akae kwanza ndani yetu ndipo nasi tumwone akitenda nahatimaye kutukaribisha ndani yake.
nikualike pendwa kumkaribisha Mungu ambaye ni Roho ndani ya maisha yako ili akae na uiskie sauti yake.
nikutakie siku yenye baraka njema kwako. Jinsi ya kuisikiliza sauti ya Mungu

Maoni
Chapisha Maoni