SOMO: AINA ZA UBATIZO
"mimi niliwabatiza kwa maji bali yeye atawabatiza kwa Roho mtakatifu.." ni maneno ya Yohana mbatizaji yanayosomeka katika injili ya Marko mt.1:8 alipokuwa akiwahubiria wanafunzi waliokuwa wakimsubiri kwa shauku kuu mwana wa Adam. leo mie mtumishi wa Mungu nakwambia tena kwa msisitizo kuwa mimi ni tabibu tu ninae weza kukutibu pindi upatwapo na shida ya kiafya, lakini Mungu pekee ndiye mponyaji, awezaye kukuponya pale nilipo kutibu.
Hivyo napenda wote kwa pamoja tujifunze utofauti kati ya kazi ya kutibu na kuponya. kama nilivyoeleza hapo juu.
lakini pia jambo jingine ambalo ningependa nikushirikishe ni kutoka katika mstari tuliokwisha kuusoma.. ni jinsi gani watu wamekuwa wakichanganywa sana na hata kuyumbishwa hadi imani zao kwa sababu ya ubatizo. katika Biblia takatifu ambayo kila muumini wa madhehebu ya kikristo anaisoma iantueleza kuwa kuna aina kuu mbili za ubatizo;-1.ubatizo kwa njia ya maji na 2.ubatizo kwa njia ya Roho mtakatifu.
sijaona mahali panapo sema ubatizo wa maji mengi kiasi cha kufikia hatua ambapo watumishi tunaonekana kama kila mtumishi ana Mungu wake peke yake. Hatua hiyo sasa imefikia mahali pabaya ambapo makanisa yanagombana, yanagombania waumini na hata kuona kwamba kanisa hili linafaa zaidi kuliko lile. wapendwa wa Mungu, sote tuna safari ya kwenda mbinguni. yanini kufanyiana hivyo.? Biblia ni moja, mbaya zaidi tunao kwenda mbinguni ndio sisi wenyenyewe.
"nasi twajua kwamba hukumu ya Mungu ni ya kweli juu ya wafanyao hayo" Warumi 2:2 Mungu atutie nguvu na maarifa katika safari hii ya kwenda mbinguni. sijui ni akina nani watakao fanikiwa kupenya lango la mbinguni. labada tuendelee kuomba mbele zake ili akawie kudogo kuja iili tuendelee kuyatengeneza mapito haya na pia tuzimalize tofauti zetu.
ninachomshukuru Mungu ni kwamba hajawahi kutafutiwa jina jingine kama tunavyohangaika kutafuta majina ya makanisa yetu mapya yanayoanshwa kila kukicha.
nikutakie uwe na moyo wa uvmilivu katika safari hii. neno linasema kuwa nyakati za mwisho patatokea na vitu vingi , manabii wa uongo, na kila atakaye litaja jina la Bwana si kwa Roho mtakatifu bali kwa Miujiza ya akina siomoni.
ni matumaini yangu kuwa utakuwa umebarikiwa sana na somo hili. Je, ungependa kuomba pamoja na mimi? piga simu namba 0719/68788303

KUBATIZA MAANA YAKE NN?
JibuFuta