live concert of Ev. mhugo hantish
Mungu hukaa mahali pa sifa, tena ndani ya mioyoni mwetu ndimo lilimo hekalu lake. napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa nafasi hii ya kumtumikia kwa njia ya uimbaji. naahidi kumtumikia kwa moyo wangu wote hata ukamilifu wa dahari.
Yoh.15:9-17 Mungu alisema alitangulia kutupenda kwanza, ndio sababu alituchagua ili kumiliki vyote vilivyo ndani ya ulimwengu huu ..je, wewe mwanadamu una nini cha kumplipa Mungu kama sio kumsifu? usipo mwimbia atayainua mawe nayo yatamwimbia...
HIYO ILIKUA NI SIKU YA WAUGUZI DUNIANI ILIYO ADHIMISHWA HUKO LUDEWA MKOANI NJOMBE TAR.12.05.2016. TUKIMUENZI FROULANCE NIGHTNGALE
Maoni
Chapisha Maoni