MAHOJIANO MAALUM NA EV. MHUGO HANTISH
TAZAMA MAHOJIANO HAPA CHINI
Hello
mpenzi msomaji wetu wa GOSPEL HEADLINES LEO, bila shaka ukheri wa afya
kabisa. Kama ilivyo ada kukuletea habari za wainjiishaji na injili
kutoka ndani na nje ya Tanzania, leo tumekusogezea karibu yako mahojiano
maalum ya Ev. Mhugo Hantish akiwa na mtangazaji wa kipindi cha FARAJA
YAKO, Getrude Mwakatobe wa Radio Bomba Fm 104.1 Mbeya.
PICHA KWA HISANI YA HINJU ZE ONE, DH
Maoni
Chapisha Maoni