WAIMBAJI WA INJILI ZAIDI YA 200 MKOANI MBEYA NA SONGWE KUKUTANA PAMOJA.

Na Mwandishi wetu.
MBEYA
Waimbaji wa nyimbo za injili wanao jumuishwa na umoja wa waimbaji mkoa wa Mbeya na Songwe wapanga kukutana pamoja katika kongamano lao la kusifu na kumwabudu Mungu. Kongamano hilo linapangwa kufanyika mkoani Mbeya, Sokomatola katika kanisa la T.A.G JERUSALEM TEMPLE . ni tar 16 February 2018 kuanzia saa 8:00 pm hadi Asubuhi. Pamoja na ratiba zote hizo, Umoja huo umetenga na muda wa maombi na maombezi. Hivyo nyote mnakaribishwa . kwa wenye shida na magonjwa sugu wataombewa.   miongoni wa waimbaji 200 hao ni pamoja na Tumaini Mbembela, Iman John, Ev Mhugo Hantish, Onesmo Nickodem, Jj Lwiza, Neema Jackson, Ikupa Mwambenja, Yakobo Mwamboya, Asifiwe Ndendya, Afande Bright Mbwilo, na wengine kama picha zinavyooneshwa hapo chini,




 NYOTE MNAKARIBISHWA



Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO