WAIMBAJI MKOANI MBEYA WAPANIA.
Mbeya,
kama ilivyo ada ndugu msomaji wa blog yetu pendwa ya GOSPEL HEADLINE LEO, Leo naendelea kukusogezea headline juu ya maandalizi ya waimbaji kwa umoja wao wa Mkoa wa Mbeya na Songwe kuelekea siku ya mkesha wa tar 16 mwezi february 2018 ambapo Umoja huo umeandaa kongamano kubwa la aina yake litakalo fanyika tar tajwa hapo juu kuanzia majira ya saa 2 jioni hadi asubuhi. Kongamano hilo litahusisha waimbaji pamoja na chungaji kadhaa ambao watachukua nafasi za karama zao kumtukuza MUNGU aliye hai.
Kwa taarifa hiyo unaalikwa ewe mkazi wa maeneo ya Mbeya mjini na maeneo ya jirani na mahali popote unapoipata taarifa hii ya kwamba unakaribishwa sana pasipo kiingilio chochote.
Picha hizi ni kwa hisani ya HINJU ZE ONE, Film Director
NYOTE MNAKARIBISHWA.
====
TANGAZO
JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA www.hantishmhugo.blogspot.pe?
KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA hantishmhugo@gmail.com AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303.
gospelheadline@2018
"The voice to the voiceless"
Maoni
Chapisha Maoni