Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2018

IMANI JOHN :ACHA NIKUTUKUZE

Picha
NIMEKUWEKEA WIMBO MARIDHAWA KABISA KUTOKA KWA MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUTOKA MBEYA, NCHINI TANZANIA, IMANI JOHN AMBAYE KWA SASA AMEENDELEA KUSHIKILIA HEADLINES ZA JUU KWA JINSI HUDUMA YAKE ILIVYOTANUKA KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU. NAYE ANASEMA "ACHA NIKUTUKUZE" TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com hantishmhugo@gmail.com AU gheadlinesleo@fmail.com UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . gospelheadlines@2018 " The voice to the voicel

HAPPY KAMILI: NA IWE HIVYO.

Picha
TAZAMA HAPA WIMBO MPYA WA MWIMBAJI WA INJILI HAPPY KAMILI 'NA IWE HIVYO' https://youtu.be/3Xm75JkGg5I TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com   AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . gospelheadlines@2018 " The voice to the voiceless "

HABARI: WIMBO WA ''IGUSE TANZANIA'' WA Ev Mhugo Hantish WATAMBULISHWA RASMI LEO.

Picha
NA MWANDISHI WETU, Haleluya mtu wa Mungu popote pale ulipo 🌍 unayetufuatilia kupitia nyanja zetu za mitandao mbalimbali ya kijamii. Kwa mara ya kwanza mbele yako leo tunautambulisha wimbo huu wa IGUSE TANZANIA ikiwa ni ujumbe unaashiria ya kwamba tunamhitaji Mungu juu ya mustakabali wa maisha yetu na Taifa kwa ujumla. Wimbo huu umeimbwa na Ev Mhugo Hantish. Hivyo tunakusihi tuweke tofauti za makabila, Dhehebu, Dini au Rangi na kisha tushikamane sote kumwomba Mungu AIGU SE NCHI YETU YA TANZANIA hasa katika maeneo yenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Kwa hisani ya DH- DIRECTOR HINJU. IGUSE TANZANIA - Ev Mhugo Hantish  "Namshukuru Mungu kwa neema yake aliyoiachilia juu ya Maisha yangu hasa kwa kuniamini na kunipa kusudi la kutumika kwa njia ya uimbaji. Leo mbele yako nimeutambulisha wimbo wetu uitwao IGUSE TANZANIA. Natamani kila mtazamaji na msikilizaji wote kwa Umoja tujinyenyekeze mbele za Mungu na kumwomba AIGUSE NCHI ...

MWAMINI MUYERO - YESU USIFIWE

Picha
 Na Mwandishi Wetu, Dar-Es-Salaam, Baada ya siku chache zilizopita kuachia wimbo wake mpya uitwao Yesu Usifiwe mwimbaji wa nyimbo za Injili Mwamini Muyero sasa ameachia video ya wimbo huo ikiwa imeongozwa na director Mbangwa Hassan, ukiwa ni wimbo maalum wa sifa kwa ajili ya Pasaka, Muziki huu umetayaarishwa ndani ya studio za Soft Records chini ya mikono ya prodyuza Pitshou Mesha. “Yesu Usifiwe ni wimbo wa Sifa nikiwakumbusha watu, hasa wale wanaopitia katika shida na mambo magumu, wimbo huu ukawe nuru na nguzo ya matumaini katika maisha yao na nawasihi watambue kuwa hakuna lisilowezekana kwa Yesu maana yote aliyamaliza pale msalabani, waendelee kumtumainia Mungu naye atatenda miujiza kwa zaidi ya wanavyofikiria, Ameen.” – Mwamini Muyero  Ikumbukwe kuwa mwimbaji Mwamini Muyero tayari ana albamu iitwayo Nimepata Pumziko aliyoachia mwaka 2016 ikiwa kwenye mfumo wa Audio CD na DvD ikiwa inasambazwa na yeye mwenyewe na kupatikana kwenye maduka...

NOEL MUSSA HINJU AJA NA "BACK TO THE HELL" FILM

Picha
BACK TO THE HELL Na @gospel_headlines_leo . Ni filamu mpya kabisa toka makao makuu ya kiwanda cha uzalishaji wa filamu na video za muziki wa injili, Ludewa Njombe. @hinjuzeone_director @mussahinju @hinjuzeone kutoka # LMO yaani LUDEWA MOVIE ORGANISATION wanakuletea # backTotheHell film yenye kuelimisha na kuburudisha pia. Akizungumza na @gospel_headlines_leo mtayarishaji wa filamu hiyo, @hinjuzeone_dir amesema licha ya soko la filamu kuwa gumu Tanzania ila kwake bado haoni changamoto hiyo kwani Imani yake ipo katika kipaji na ubunifu zaidi. Hivyo kwa sasa ameruhusu mzigo huu #backTotheHell sokoni na anawakaribisha watazamaji kuushambulia kwa gharama nafuu sana ya Tsh. 3000/= tu. Na @gospel_headlines_leo.   TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com   AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . gospelheadlines@2018 " The voice to th...

"IGUSE TANZANIA" YAANZA KUZUA GUMZO KABLA HAIJAACHIWA

Picha
IGUSE TANZANIA Ni wimbo ulioimbwa na mtumishi wa Mungu Ev Mhugo Hantish  ambaye pia ni mkurugenzi wa GHL.. Wimbo wa # IguseTanzania umerekodiwa na mtayarishajir Super Mwasongwe, Super Record kutoka mjini Makambako. Wimbo huu umetengenezwa tangu mwaka 2015. Akizungumza na chanzo chetu cha habari cha kuaminika Ev Mhugo Hantish  amesema #IguseTanzania imekuja sasa wakati ambapo ndipo tunapo mhitaji sana Mungu juu ya Taifa letu la Tanzania na Juu ya wenye mamlaka. Lakini ameongeza na kusema kuwa hili jambo la kuiombea nchi yetu si la waimbaji au waombaji na wachungaji pekee bali ni la kila mmoja wetu aliye chini ya ardhi ya nchi ya Tanzania hii  Alipoulizwa kuhusu lini atakapouachia wimbo huo na je utakuwa kwa mfumo gani alijibu: "nategemea kuuachia wimbo ulio katika mfumo wa audio kuanzia kesho (tar 05.04.2015) ambapo utakua youtube. Hivyo niwaalike vituo vya burudani kusaidia kuupeleka ujumbe huu mahali pengi zaidi".   KAA TAYARI KWA KUIPOKEA #IGUSETANZANI...

RONALDO AMKONGA MOYO MCHUNGAJI.

Picha
MCHUNGAJI KUCHEZA GAME. Na mwandishi wetu, Habari mpendwa msomaji wetu wa pages zetu za gospel_headlines_leo popote pale ulipo 🌍 . Kama ilivyo Ada kukuletea habari za ndani na nje ya Tanzania, leo tunapenda kukuletea taarifa moja kwa moja kutoka mjini Atlanta, Georgia ambako Mtumishi wa Mungu Dr Sonnie Badu (@sonniebaduuk) kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha yenye maelezo yanayoashiria kuwa siku ya jumapili atapata Muda wa kucheza 'game' pamoja na rafiki yake nyumbani kwa ke. Caption hiyo ambayo imeambatana na picha ya mchezaji nyota wa mpira wa miguu, Ronaldo pamoja na wachezaji Wengine, imeweza kuleta gumzo kwa baadhi ya watu kwa kusema kuwa inawezekana je kwa mchungaji ambaye pia amefungua kanisa lake jipya kwa za Karibuni liitwa @therockhillchurch aanze kujihusisha na GAME? @GOSPEL_HEADLINES_LEO inaendelea kutafuta sababu za ni nini dhamira yake hasa kwenye msimu huu wa pasaka. Mchungaji huyo ambaye ni Mgana na mwimbaji mahiri wa n...

GHL TUPO HUKU PIA

Picha
Gospel Headlines Leo yupo Tanzania . · Imetolewa na Mkurugenzi wa Gospel Headlines Leo (GHL) Ev Mhugo Hantish  Kama bado huja-follow account ya gospel_headlines_leo itakayo kuwa ikitoa mchango wa kuieneza injili mahali pengi kwa njia ya utangazaji wa kazi(huduma) za waimbaji na wainjilist pamoja na wachungaji kwa upande wa nyimbo, mahubiri na matangazo/mabango ya semina, mikutano, mikesha, makongamano na hata zinduzi mbalimbali b ila kusahau mahojiano ya watoa huduma husika kutoka ndani na nje ya Tanzania, basi Usichelewe ku- follow @gospel_headlines_leo.   Wasiliana nao kwa mawasiliano yaliyopo kwenye account yao ya @gospel_headlines_leo. Wanapatika pia Facebook: Gospel Headlines Leo na Blog: Gospel Headlines Leo. Karibu sana. Imetolewa tar 24/03/2018 Asante mdau wetu.   TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   han...