GHL TUPO HUKU PIA

Imetolewa na Mkurugenzi wa Gospel Headlines Leo (GHL)
Ev Mhugo Hantish 

Kama bado huja-follow account ya gospel_headlines_leo itakayo kuwa ikitoa mchango wa kuieneza injili mahali pengi kwa njia ya utangazaji wa kazi(huduma) za waimbaji na wainjilist pamoja na wachungaji kwa upande wa nyimbo, mahubiri na matangazo/mabango ya semina, mikutano, mikesha, makongamano na hata zinduzi mbalimbali bila kusahau mahojiano ya watoa huduma husika kutoka ndani na nje ya Tanzania, basi Usichelewe ku- follow @gospel_headlines_leo.
  Wasiliana nao kwa mawasiliano yaliyopo kwenye account yao ya @gospel_headlines_leo. Wanapatika pia Facebook: Gospel Headlines Leo na Blog: Gospel Headlines Leo. Karibu sana.
Imetolewa tar 24/03/2018
Asante mdau wetu.

 

Picha ya Gospel Headlines Leo

TANGAZO

JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA www.hantishmhugo.blogspot.pe?

KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA hantishmhugo@gmail.com AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP0768788303.

gospelheadlines@2018

"The voice to the voiceless"

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO