IMANI JOHN :ACHA NIKUTUKUZE
NIMEKUWEKEA WIMBO MARIDHAWA KABISA KUTOKA KWA MWIMBAJI WA MUZIKI WA
INJILI KUTOKA MBEYA, NCHINI TANZANIA, IMANI JOHN AMBAYE KWA SASA
AMEENDELEA KUSHIKILIA HEADLINES ZA JUU KWA JINSI HUDUMA YAKE
ILIVYOTANUKA KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU. NAYE ANASEMA "ACHA NIKUTUKUZE"
Maoni
Chapisha Maoni