NOEL MUSSA HINJU AJA NA "BACK TO THE HELL" FILM

BACK TO THE HELL
Na @gospel_headlines_leo.

Ni filamu mpya kabisa toka makao makuu ya kiwanda cha uzalishaji wa filamu na video za muziki wa injili, Ludewa Njombe. @hinjuzeone_director @mussahinju @hinjuzeone kutoka #LMO yaani LUDEWA MOVIE ORGANISATION wanakuletea #backTotheHell film yenye kuelimisha na kuburudisha pia.
Akizungumza na @gospel_headlines_leo mtayarishaji wa filamu hiyo, @hinjuzeone_dir amesema licha ya soko la filamu kuwa gumu Tanzania ila kwake bado haoni changamoto hiyo kwani Imani yake ipo katika kipaji na ubunifu zaidi. Hivyo kwa sasa ameruhusu mzigo huu #backTotheHell sokoni na anawakaribisha watazamaji kuushambulia kwa gharama nafuu sana ya Tsh. 3000/= tu.
Na @gospel_headlines_leo.

TANGAZO

JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA www.hantishmhugo.blogspot.pe?

KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA hantishmhugo@gmail.com AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP0768788303.

gospelheadlines@2018

"The voice to the voiceless"

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO