RONALDO AMKONGA MOYO MCHUNGAJI.
MCHUNGAJI KUCHEZA GAME.
Na mwandishi wetu,
Habari mpendwa msomaji wetu wa pages zetu za gospel_headlines_leo popote pale ulipo 🌍.
Kama ilivyo Ada kukuletea habari za ndani na nje ya Tanzania, leo tunapenda kukuletea taarifa moja kwa moja kutoka mjini Atlanta, Georgia ambako Mtumishi wa Mungu Dr Sonnie Badu (@sonniebaduuk) kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha yenye maelezo yanayoashiria kuwa siku ya jumapili atapata Muda wa kucheza 'game' pamoja na rafiki yake nyumbani kwake.
Caption hiyo ambayo imeambatana na picha ya mchezaji nyota wa mpira wa miguu, Ronaldo pamoja na wachezaji Wengine, imeweza kuleta gumzo kwa baadhi ya watu kwa kusema kuwa inawezekana je kwa mchungaji ambaye pia amefungua kanisa lake jipya kwa za Karibuni liitwa @therockhillchurch aanze kujihusisha na GAME?
@GOSPEL_HEADLINES_LEO inaendelea kutafuta sababu za ni nini dhamira yake hasa kwenye msimu huu wa pasaka.
Mchungaji huyo ambaye ni Mgana na mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili amejitwalia umaarufu mahali pengi hasa katika nyimbo ambazo amekua akizitoa. Baadhi ya nyimbo hizo ni pamoja na #Baba #MySoulSaysYes. nk
.

Maoni
Chapisha Maoni