"IGUSE TANZANIA" YAANZA KUZUA GUMZO KABLA HAIJAACHIWA

IGUSE TANZANIA
Ni wimbo ulioimbwa na mtumishi wa Mungu Ev Mhugo Hantish  ambaye pia ni mkurugenzi wa GHL.. Wimbo wa #IguseTanzania umerekodiwa na mtayarishajir Super Mwasongwe, Super Record kutoka mjini Makambako.
Wimbo huu umetengenezwa tangu mwaka 2015. Akizungumza na chanzo chetu cha habari cha kuaminika Ev Mhugo Hantish  amesema #IguseTanzania imekuja sasa wakati ambapo ndipo tunapo mhitaji sana Mungu juu ya Taifa letu la Tanzania na Juu ya wenye mamlaka. Lakini ameongeza na kusema kuwa hili jambo la kuiombea nchi yetu si la waimbaji au waombaji na wachungaji pekee bali ni la kila mmoja wetu aliye chini ya ardhi ya nchi ya Tanzania hii
 Alipoulizwa kuhusu lini atakapouachia wimbo huo na je utakuwa kwa mfumo gani alijibu: "nategemea kuuachia wimbo ulio katika mfumo wa audio kuanzia kesho (tar 05.04.2015) ambapo utakua youtube. Hivyo niwaalike vituo vya burudani kusaidia kuupeleka ujumbe huu mahali pengi zaidi".
 
KAA TAYARI KWA KUIPOKEA #IGUSETANZANIA.

PICHA KWA HISANI YA HINJU ZE ONE


TANGAZO

JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA www.hantishmhugo.blogspot.pe?

KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA hantishmhugo@gmail.com AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP0768788303.

gospelheadlines@2018

"The voice to the voiceless"

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO:KUSIFU NA KUABUDU KATIKA BIBLIA.

HISTORIA YA MITUME WA YESU KRISTO NA VIFO VIFO

SOMO: MAONO NA NDOTO