Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2018

MAKALA:NANI ANAFUATA TANZANIA?

Picha
NANI ANAFUATA TANZANIA? Na Ev Mhugo Hantish Kutoka nchini Atlanta, Georgia Gospel Headlines Leo imekuletea mwimbaji mwenye karama ya ajabu na ya pekee katika kumwinua na kumtukuza Mungu aliye hai, Dr. Sonnie Badu. Huyu ni mwimbaji, mchungaji wa kanisa la Rock Hill alilolianzisha mwenyewe mwanzoni mwa 2017 nchini humo. Amejikita zaidi katika uimbaji wa nyimbo za injili kwa namna ya 'Live Concert' ambayo imekuwa ikifanyika baraka sana mioyoni mwa watu waliobahatika kuhudhuria baadhi ya matamasha yake.     Leo katika moja ya posts alizo post kupitia mtandao wa instagram akiwa Marekani ni picha iliyoonyesha baadhi ya tuzo na medani alizozipata kwa njia ya huduma yake. Picha hiyo ilipewa Caption ifuatayo     "you will not labour in vein. God will honor you before the year ends...look up to jesus " yakiwa na maana   "hautafanya kazi patupu. Mungu atakuheshimisha kabla ya mwaka kuisha.... wewe mtazame Yesu"    Picha hiyo imemwoyesha ak...

HABARI:UZINDUZI WA TUMAINI NJOLE SEHABA UKO HIVI!

Picha
Na Mwandishi wetu, Morogoro   Kama umekua mfuatiliaji wa nyimbo za injili kila wakati hapa nchini Tanzania basi wimbo wa MUNGU WETU ANAONEKANA sio mgeni masikioni mwako. Mwimbaji maarufu kutoka nchini Tanzania nakuletea bonge moja la uzinduzi wa albam hiyo ya MUNGU ANAONEKANA ambao utafanyika mnamo tarehe 02 Sept 2018 ambapo amewaalika waimbaji mahiri wengi kama vile Ambwene Mwasongwe, Masanja Mkandamizaji na wengine wengi ambao watakua wakimpa 'company' kwenye tamasha hilo kubwa na la aina yake ambalo ahlijawahi kutokea mjini Morogoro.   ILI KUUTAZAMA WIMBO WA "MUNGU ANAONEKANA" BOFYA HAPA TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com AU gheadlinesleo@fmail.com UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . =TUNAPATIKANA PIA YOUTUBE CHANNEL, FACEBOOK PAGE NA INSTAGRAM ACCOUNT . gospelheadlines@2018 " The voice to the voiceless "

DR TUMAINI MSOWOYA KUKIWASHA ITV KESHO

Picha
Na Mwandishi wetu,  Dar Es Salaam   Mwandishi mahiri na mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari zihusuzo watoto nchini Tz, na mwimbaji wa nyimbo za injili, Dr Tumaini Msowoya ambaye pia aliawahi kuwa mtangazaji wa kipindi kimojawapo cha Radio Ebony Fm anaendelea kutamba vizuri zaidi na wimbo wake wa NINA FURAHA ulio katika mfumo wa 'AudioVisual'.  Kwa sasa anakualika kuitazama kazi yake ili kuendelea kumsapoti katika huduma yake ya uimbaji.  Kwa habari zilizotufikia GHL ni kwamba wimbo huo wa NINA FURAHA unaendelea kukamata fahamu na nyoyo za wapenzi wake. Hivyo kesho video yake itaruka hewani kupitia ITV. Dr Tumaini anawaalika kuitazama video hiyo. KUTAZAMA VIDEO HIYO BOFYA HAPA  TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com AU gheadlinesleo@fmail.com UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . =TUNAPATIKANA PIA YOUTUBE CHANNE...

Ev Mhugo awapa tumaini wanafunzi wenye vipaji.

Picha
 LUDEWA Na Mwandishi wetu:  Wakati huduma ya uimbaji ikiendelea kukua siku hadi siku, mtumishi wa Mungu Mhugo Hantish, ambaye pia ni mpigaji mzuri wa baadhi ya vyombo vya muziki kama vile kinanda nk. amekutana na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Luana iliyoko mjini Ludewa-Njombe na kufanya nao mazungumzo mara baada ibada iliyompeleka huko yeye pamoja na Kwaya ya Parapanda (KKKT).     Amekutana na baadhi ya wanafunzi hao ambao pia ni miongoni mwa WANAUKWATA  katika jumapili moja na kupiga nao story mara baada ya kuona na kuvutiwa na vipaji vyao vya upigaji ngomba (ndoo iliyopo pichani). "Msipotaka kukata tamaa mtafika mbali. kwa kuwa hatua moja huanzisha nyingine. Kikubwa mkaze katika maombi. Mie mwenyewe nimetokea hukuhuku hadi kufika hapa nilipo" - Ev Mhugo   (pichani) Ev. Mhugo na baadhi ya wanakwaya na wanafunzi wapiga ngoma   Ev. Mhugo akijikumbushia kupiga ngoma hiyo TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO...

IMANI JOHN :ACHA NIKUTUKUZE

Picha
NIMEKUWEKEA WIMBO MARIDHAWA KABISA KUTOKA KWA MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUTOKA MBEYA, NCHINI TANZANIA, IMANI JOHN AMBAYE KWA SASA AMEENDELEA KUSHIKILIA HEADLINES ZA JUU KWA JINSI HUDUMA YAKE ILIVYOTANUKA KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU. NAYE ANASEMA "ACHA NIKUTUKUZE" TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com hantishmhugo@gmail.com AU gheadlinesleo@fmail.com UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . gospelheadlines@2018 " The voice to the voicel

HAPPY KAMILI: NA IWE HIVYO.

Picha
TAZAMA HAPA WIMBO MPYA WA MWIMBAJI WA INJILI HAPPY KAMILI 'NA IWE HIVYO' https://youtu.be/3Xm75JkGg5I TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com   AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . gospelheadlines@2018 " The voice to the voiceless "

HABARI: WIMBO WA ''IGUSE TANZANIA'' WA Ev Mhugo Hantish WATAMBULISHWA RASMI LEO.

Picha
NA MWANDISHI WETU, Haleluya mtu wa Mungu popote pale ulipo 🌍 unayetufuatilia kupitia nyanja zetu za mitandao mbalimbali ya kijamii. Kwa mara ya kwanza mbele yako leo tunautambulisha wimbo huu wa IGUSE TANZANIA ikiwa ni ujumbe unaashiria ya kwamba tunamhitaji Mungu juu ya mustakabali wa maisha yetu na Taifa kwa ujumla. Wimbo huu umeimbwa na Ev Mhugo Hantish. Hivyo tunakusihi tuweke tofauti za makabila, Dhehebu, Dini au Rangi na kisha tushikamane sote kumwomba Mungu AIGU SE NCHI YETU YA TANZANIA hasa katika maeneo yenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Kwa hisani ya DH- DIRECTOR HINJU. IGUSE TANZANIA - Ev Mhugo Hantish  "Namshukuru Mungu kwa neema yake aliyoiachilia juu ya Maisha yangu hasa kwa kuniamini na kunipa kusudi la kutumika kwa njia ya uimbaji. Leo mbele yako nimeutambulisha wimbo wetu uitwao IGUSE TANZANIA. Natamani kila mtazamaji na msikilizaji wote kwa Umoja tujinyenyekeze mbele za Mungu na kumwomba AIGUSE NCHI ...

MWAMINI MUYERO - YESU USIFIWE

Picha
 Na Mwandishi Wetu, Dar-Es-Salaam, Baada ya siku chache zilizopita kuachia wimbo wake mpya uitwao Yesu Usifiwe mwimbaji wa nyimbo za Injili Mwamini Muyero sasa ameachia video ya wimbo huo ikiwa imeongozwa na director Mbangwa Hassan, ukiwa ni wimbo maalum wa sifa kwa ajili ya Pasaka, Muziki huu umetayaarishwa ndani ya studio za Soft Records chini ya mikono ya prodyuza Pitshou Mesha. “Yesu Usifiwe ni wimbo wa Sifa nikiwakumbusha watu, hasa wale wanaopitia katika shida na mambo magumu, wimbo huu ukawe nuru na nguzo ya matumaini katika maisha yao na nawasihi watambue kuwa hakuna lisilowezekana kwa Yesu maana yote aliyamaliza pale msalabani, waendelee kumtumainia Mungu naye atatenda miujiza kwa zaidi ya wanavyofikiria, Ameen.” – Mwamini Muyero  Ikumbukwe kuwa mwimbaji Mwamini Muyero tayari ana albamu iitwayo Nimepata Pumziko aliyoachia mwaka 2016 ikiwa kwenye mfumo wa Audio CD na DvD ikiwa inasambazwa na yeye mwenyewe na kupatikana kwenye maduka...

NOEL MUSSA HINJU AJA NA "BACK TO THE HELL" FILM

Picha
BACK TO THE HELL Na @gospel_headlines_leo . Ni filamu mpya kabisa toka makao makuu ya kiwanda cha uzalishaji wa filamu na video za muziki wa injili, Ludewa Njombe. @hinjuzeone_director @mussahinju @hinjuzeone kutoka # LMO yaani LUDEWA MOVIE ORGANISATION wanakuletea # backTotheHell film yenye kuelimisha na kuburudisha pia. Akizungumza na @gospel_headlines_leo mtayarishaji wa filamu hiyo, @hinjuzeone_dir amesema licha ya soko la filamu kuwa gumu Tanzania ila kwake bado haoni changamoto hiyo kwani Imani yake ipo katika kipaji na ubunifu zaidi. Hivyo kwa sasa ameruhusu mzigo huu #backTotheHell sokoni na anawakaribisha watazamaji kuushambulia kwa gharama nafuu sana ya Tsh. 3000/= tu. Na @gospel_headlines_leo.   TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   hantishmhugo@gmail.com   AU UJUMBE/PIGA/WHATSAPP 0768788303 . gospelheadlines@2018 " The voice to th...

"IGUSE TANZANIA" YAANZA KUZUA GUMZO KABLA HAIJAACHIWA

Picha
IGUSE TANZANIA Ni wimbo ulioimbwa na mtumishi wa Mungu Ev Mhugo Hantish  ambaye pia ni mkurugenzi wa GHL.. Wimbo wa # IguseTanzania umerekodiwa na mtayarishajir Super Mwasongwe, Super Record kutoka mjini Makambako. Wimbo huu umetengenezwa tangu mwaka 2015. Akizungumza na chanzo chetu cha habari cha kuaminika Ev Mhugo Hantish  amesema #IguseTanzania imekuja sasa wakati ambapo ndipo tunapo mhitaji sana Mungu juu ya Taifa letu la Tanzania na Juu ya wenye mamlaka. Lakini ameongeza na kusema kuwa hili jambo la kuiombea nchi yetu si la waimbaji au waombaji na wachungaji pekee bali ni la kila mmoja wetu aliye chini ya ardhi ya nchi ya Tanzania hii  Alipoulizwa kuhusu lini atakapouachia wimbo huo na je utakuwa kwa mfumo gani alijibu: "nategemea kuuachia wimbo ulio katika mfumo wa audio kuanzia kesho (tar 05.04.2015) ambapo utakua youtube. Hivyo niwaalike vituo vya burudani kusaidia kuupeleka ujumbe huu mahali pengi zaidi".   KAA TAYARI KWA KUIPOKEA #IGUSETANZANI...

RONALDO AMKONGA MOYO MCHUNGAJI.

Picha
MCHUNGAJI KUCHEZA GAME. Na mwandishi wetu, Habari mpendwa msomaji wetu wa pages zetu za gospel_headlines_leo popote pale ulipo 🌍 . Kama ilivyo Ada kukuletea habari za ndani na nje ya Tanzania, leo tunapenda kukuletea taarifa moja kwa moja kutoka mjini Atlanta, Georgia ambako Mtumishi wa Mungu Dr Sonnie Badu (@sonniebaduuk) kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha yenye maelezo yanayoashiria kuwa siku ya jumapili atapata Muda wa kucheza 'game' pamoja na rafiki yake nyumbani kwa ke. Caption hiyo ambayo imeambatana na picha ya mchezaji nyota wa mpira wa miguu, Ronaldo pamoja na wachezaji Wengine, imeweza kuleta gumzo kwa baadhi ya watu kwa kusema kuwa inawezekana je kwa mchungaji ambaye pia amefungua kanisa lake jipya kwa za Karibuni liitwa @therockhillchurch aanze kujihusisha na GAME? @GOSPEL_HEADLINES_LEO inaendelea kutafuta sababu za ni nini dhamira yake hasa kwenye msimu huu wa pasaka. Mchungaji huyo ambaye ni Mgana na mwimbaji mahiri wa n...

GHL TUPO HUKU PIA

Picha
Gospel Headlines Leo yupo Tanzania . · Imetolewa na Mkurugenzi wa Gospel Headlines Leo (GHL) Ev Mhugo Hantish  Kama bado huja-follow account ya gospel_headlines_leo itakayo kuwa ikitoa mchango wa kuieneza injili mahali pengi kwa njia ya utangazaji wa kazi(huduma) za waimbaji na wainjilist pamoja na wachungaji kwa upande wa nyimbo, mahubiri na matangazo/mabango ya semina, mikutano, mikesha, makongamano na hata zinduzi mbalimbali b ila kusahau mahojiano ya watoa huduma husika kutoka ndani na nje ya Tanzania, basi Usichelewe ku- follow @gospel_headlines_leo.   Wasiliana nao kwa mawasiliano yaliyopo kwenye account yao ya @gospel_headlines_leo. Wanapatika pia Facebook: Gospel Headlines Leo na Blog: Gospel Headlines Leo. Karibu sana. Imetolewa tar 24/03/2018 Asante mdau wetu.   TANGAZO JE, UNAHITAJI KUTANGAZA HABARI YAKO HAPA   www.hantishmhugo.blogspot.pe ? KAMA NI "NDIO" TUTUMIE EMAIL YAKO KWENDA   han...

Judith Mbilinyi - Maisha Yangu Official Video

Picha
Bwana Yesu Asifiwe!  Mpendwa msomaji wa blog yetu pendwa ya GOSPEL HEADLINES LEO, leo kwa uwezo wa Mungu nimekusogezea video ya wimbo wenye baraka nyingi sana uitwao Maisha Yangu  kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili  kutoka jijini Dar es salaam Tanzania anayefahamika kwa jina la Judith Mbilinyi. Wimbo huu wa kuabudu umetayaarishwa katika studio za  EM Records  chini ya mikono thabiti ya mtayarishaji Erasto Augustino. Hii ni moja kati ya nyimbo zenye mafuta ya pekee sana ya upako katika kumwabudu Mungu ambaye kupitia Bwana wetu Yesu Kristo ameachilia nguvu ya ajabu kwa mtumishi Judith Mbilinyi ambaye kupitia wimbo huu ameonekana kuwa katika uwepo wa kipekee wa Mungu akilisifu jina la Yesu Kristo na kuzikumbusha nafsi zetu pia kuwa maisha yetu yapo mikononi mwa Bwana wetu Yesu.  Ili kuutazama wimbo huu ambao upo kwa mfumo wa video, bofya hapo chini. Karibu sana. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Judith Mbilinyi  kupitia: Simu ...

WAIMBAJI: TUNDUMA KUMEKUCHA KWA YESU

Picha
WAIMBAJI: TUNDUMA KUMEKUCHA KWA YESU. Na Mwandishi wetu,   SONGWE,  Umoja wa waimbaji wa nyimbo za injili mkoa wa Mbeya na Songwe, kwa pamoja umeendelea kushika hatamu kwa kile kinachoelezwa kuwa NGUVU YA USHIRIKIANO imeishibisha huduma ya uimbaji iliyomo ndani ya vipawa vya waimbaji hao. Umoja huo ambao hadi sasa unakadiriwa kuwa na jumla ya waimbaji takribani 200, ambao licha ya kuwa na huduma ya mmoja mmoja lakini umeendelea kushirikiana katika kuifanya huduma hii ikiwa ni pamoja na kuandaa mikutano, mikesha na makongamano yenye lengo la kujifunza neno la Mungu pamoja na wakristo wengine mahali popote.   Kwa kulitambua dhumuni la Umoja huo na kwa kutambua jukumu la kila mwimbaji anayehusisha umoja huo na kwa kutambua umuhimu wa kumtumikia Kristo aliye tumaini letu, viongozi wa kamati kuu tendaji ya Mkoa wa Mbeya kwa niaba ya waimbaji, wameratibu maandalizi ya Kongamano kubwa la neno la Mungu litakalo fanyika Mkoa wa Songwe-Tunduma mnamo tarehe 16...

KILIO CHA YATIMA

Nickson Mahundi - Kilio cha Yatima (Official Video) Machi 03, 2018  KILIO CHA YATIMA    Haleluya mpendwa msomaji wa blog yetu pendwa ya GOSPEL HEADLINES LEO . Leo nimekusogezea wimbo uitwao KILIO CHA YATIMA. Wimbo huu ulioimbwa na mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania, NICKSON MAHUNDI umebeba kusudi la kuwatetea watoto yatima na wote waishio katika mazingira hatarishi, ambao wamekosa malezi na huduma mbalimbali za kiafya na kijamii. Mwimbaji huyu ambaye pia ni mwanahabari na mtangazaji mahiri, amefanyika faraja sana katika maisha ya watoto yatima na hasa waishio maisha ya mtaani.    Licha ya huduma yake ya uimbaji na utangazaji lakini pia NICKSON MAHUNDI ni 'Managing director' wa kituo cha utangazaji cha Redio Best Fm  90.3 mHZ kilichopo Mkoani Njombe, Wilaya ya Ludewa.    Nikukaribishe kuitazama video hii kwa moyo mmoja, naamini utajifunza kitu kupitia ujumbe huu wenye harufu ya ...